Kilimo Cha mpunga kinalimwa mikoa mingi Tanzania sio Mbeya na Morogoro watu walivyo kalili

Kilimo Cha mpunga kinalimwa mikoa mingi Tanzania sio Mbeya na Morogoro watu walivyo kalili

Mpunga unalimwa almost mikoa yote Tanzania isipokuwa Arusha, Manyara, Dodoma, Singida na Kilimanjaro. Nazungumzia at least medium scale.
Singida itoe hapo watu wanapiga ma tani ya mpunga kaka... (Wilaya ya Iramba Tarafa ya Ndago na viunga vyake kuelekea mbuga inayo unganisha mkoa wa (Tabora na Singida) majuzi kati nilikuwa huko fuso zinatembea kama mbarali tu. Ila hawa wezi kuwafikia Kyela,Mbarali na mpanda/katavi
 
Msaada Kwa mwenyeji wa Tanga anaeijua vizuri vijiji vya mnazi na lunguza, vipi hali kilimo maneo ya uko? Msaada tafadhari.
 
Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..
mchele wa arusha unaujua kweli wewe!??

ni mchele ambao hauna ladha hata kidogo kilo huuzwa buku kushuka chini kwa arusha kifupi hauuziki
 
Back
Top Bottom