Singida itoe hapo watu wanapiga ma tani ya mpunga kaka... (Wilaya ya Iramba Tarafa ya Ndago na viunga vyake kuelekea mbuga inayo unganisha mkoa wa (Tabora na Singida) majuzi kati nilikuwa huko fuso zinatembea kama mbarali tu. Ila hawa wezi kuwafikia Kyela,Mbarali na mpanda/katavi
Si kweli Kilimanjaro mimi nimeshuhudia wana skimu za mashamba zaidi ya mia tano mpunga unalimwa sana labda sio Kilimanjaro ya Tanzania.. Arusha mpunga unalimwa .. Manyara mpunga unalimwa ..