DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Kuna kitu kimoja kinatofautisha ulimaji mpunga kyela na Mbalali, kyela ndo unazalishwa mchele wenye kiwango cha juu lakini si kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na bonde la mbalali huko mpunga mwingi sana japo ubora na radha yake haifikii ule wa kyela ndo maana ukienda sokoni watu wanasema huu wa kyela au huu wa mbeya huwa wanarejea brand name ya kyela.Yap kyela it is da best mkuu,labda irrigation scheme shida