Kilimo cha mpunga Mbeya

Kilimo cha mpunga Mbeya

Yap kyela it is da best mkuu,labda irrigation scheme shida
Kuna kitu kimoja kinatofautisha ulimaji mpunga kyela na Mbalali, kyela ndo unazalishwa mchele wenye kiwango cha juu lakini si kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na bonde la mbalali huko mpunga mwingi sana japo ubora na radha yake haifikii ule wa kyela ndo maana ukienda sokoni watu wanasema huu wa kyela au huu wa mbeya huwa wanarejea brand name ya kyela.
 
Sasa mkuu ushauri wako tafadhari?
 
Nafikiri huu uzi haujatendewa haki, naomba wenye taarifa za kina watujuze. Mfano ndugu yetu uliyetudodosea habari ya Busokelo, ni vyema utueleze vema.
Au yeyote anayejua chochote kuhusu Kyela kama irrigation scheme si vibaya akatushirikisha, kumbuka umetueleza kuwa mchele wao ni kiwango cha juu ila uzalishaji ni mdogo.
Je kule Busokelo kukoje?
 
Back
Top Bottom