Asante mkuuKilimo Cha mpunga Chakumwaga kina kipato Cha chini Sana. Ili upate faida pandikiza Miche. Kilimo Cha kupandikiza Miche kinahitaji maji yawe yakutosha na ya UHAKIKA tofauti na kile Cha kumwaga. Kwasasa pambana mapaka uandae vitaru na kuotesha mbegu masuala ya mbolea na madawa urudi Miche ikiwa imefikia umri.
Mlimba ndani ndani huko Chita, mbingu, udagaji,chisano,ngwasi nk
Vip Kuna ulijualo zaidi utusaidieAisee
Samahan boss kilimo cha mpunga ili kiwe cha uhakik kina hitaj mtaji kias gani me ni mwanafunzi wa chuo nahitaj kujifunzHabari,
Huu ndo muda wa kupanda mpunga kwa sehemu za morogoro naomba kufahamu dawa za kuua magugu, mbolea gani itumike ili kuongeza kipato.
Na pia njia bora ya kutumia maana Ile ya kumwaga mpunga then trector inapita inafunika ilikuwa zamani.
Kupandikiza Miche au kupanda punje.
Karibu kwa majadiliano ili tufanye kilimo chenye tija.
Inategemea unalima wapi, eneo kiasi gani na Kwa mfumo gani.Samahan boss kilimo cha mpunga ili kiwe cha uhakik kina hitaj mtaji kias gani me ni mwanafunzi wa chuo nahitaj kujifunz