kj75
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 539
- 637
Habari,
Huu ndo muda wa kupanda mpunga kwa sehemu za morogoro naomba kufahamu dawa za kuua magugu, mbolea gani itumike ili kuongeza kipato.
Na pia njia bora ya kutumia maana Ile ya kumwaga mpunga then trector inapita inafunika ilikuwa zamani.
Kupandikiza Miche au kupanda punje.
Karibu kwa majadiliano ili tufanye kilimo chenye tija.