Kilimo cha mpunga

Kilimo cha mpunga

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Habari,

Huu ndo muda wa kupanda mpunga kwa sehemu za morogoro naomba kufahamu dawa za kuua magugu, mbolea gani itumike ili kuongeza kipato.

Na pia njia bora ya kutumia maana Ile ya kumwaga mpunga then trector inapita inafunika ilikuwa zamani.

Kupandikiza Miche au kupanda punje.

Karibu kwa majadiliano ili tufanye kilimo chenye tija.
 
Kilimo Cha mpunga Chakumwaga kina kipato Cha chini Sana. Ili upate faida pandikiza Miche. Kilimo Cha kupandikiza Miche kinahitaji maji yawe yakutosha na ya UHAKIKA tofauti na kile Cha kumwaga. Kwasasa pambana mapaka uandae vitaru na kuotesha mbegu masuala ya mbolea na madawa urudi Miche ikiwa imefikia umri.
 
Asante mkuu
 
Morogoro kubwa mkuu, wapi huko panapolipa tujuze ndugu
 
Habari,

Huu ndo muda wa kupanda mpunga kwa sehemu za morogoro naomba kufahamu dawa za kuua magugu, mbolea gani itumike ili kuongeza kipato.

Na pia njia bora ya kutumia maana Ile ya kumwaga mpunga then trector inapita inafunika ilikuwa zamani.

Kupandikiza Miche au kupanda punje.

Karibu kwa majadiliano ili tufanye kilimo chenye tija.
Samahan boss kilimo cha mpunga ili kiwe cha uhakik kina hitaj mtaji kias gani me ni mwanafunzi wa chuo nahitaj kujifunz
 
Back
Top Bottom