SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

Stories of Change - 2021 Competition

zambezi_21

Member
Joined
Jul 18, 2021
Posts
7
Reaction score
14
Ni kweli kwamba Dunia kwa Sasa ipo katika mapinduzi ya nne ya viwanda na sekta inayoongoza mapinduzi haya ni sekta ya teknologia na habari. Matajiri wakubwa wa Dunia kwa kiasi kikubwa ni Vijana na wazee ambao wamewekeza katika sekta hii kwa kiasi kikubwa,hapa nawazungumzia watu Kama Jeff Bezos,elon musk,mark zuckerberg,bill gates na wengine ambao ndio kwa sehemu kubwa wanamiliki utajiri wa Dunia.

Nchi nyingi za Africa Zina mchango mdogo Sana katika mapinduzi ya viwanda yanayotokea kwasasa tofauti na hapo wajasiria mali wengi waafrika imekua ni vigumu kwao kwa kupitia sekta ya teknologia na habari kutengeneza uchumi unao endana na Hawa matajiri wanao endesha uchumi wa Dunia kutokana na mifumo mibovu ya kiuchumi katika nchi za Africa lakini pia ugumu wa bidhaa zetu kuheshimika na kukubalika katika soko la Dunia.

Kwa namna moja au nyingine waafrika na watanzania hususani, inabidi kabla ya kushiriki kikamilifu katika sekta hii kiongozi ya teknologia na uchumi,tuanzie katika sekta ya kilimo Kama nchi tajiri zilipo anzia, kwa wakati huo huo tuchanganye kilimo na technologia na habari hapa ndipo tutajenga uchumi wa kweli.

Kilimo kinachoendelea hapa tanzania kwa asilimia kubwa sicho ambacho kinauwezo wa kuinua uchumi wetu na kujilinganisha na walioendelea. Tanzania tuna aridhi ambayo inafaa kilimo hekta million 13.5, zipo nchi ambazo ukubwa tuu wa nchi haufiki hecta million 13 lakini wanazalisha mazao ya kilimo Mara 2 zaidi yetu.

Uwekezaji mkubwa katika kilimo unaleta tija katika uchumi wa nchi kwani kilimo ni sekta ambayo inashabihiana mojakwamoja na ukuaji wa viwanda pamoja na mambo mengine. Katika nchi zilizoendela wakulima wanauwezo wa kuzalisha mazao pamoja na kuyaongezea thamani hapo hapo shambani mpaka kuwa bidhaa ambayo inaweza ikapelekwa moja kwa moja kwa mlaji.

Shambani la hekta 10000 linaweza kuzalisha chakula mpaka tani 110,000 Za nafaka kwa mwaka. Hili ndilo shamba la mkulima na mtanzania wakawaida anapashwa kudhamiria kuliendesha. Shamba hili pia kwa kutumia teknologia mbali mbali lina weza kuzalisha umeme wa mega watt 15 Kwa kutumia mtambo wa umeme ambao unatumia makuti ya mazao Kama mahindi,alizeti na mengine (biogas power plant au straw power plant). Kwa maana nyingine baada ya kulima mkulima atavuna kwa kutumia combine havester,ambapo kwa ukubwa huu wa hekta 10,000 combine havester aina ya (Claas Lexion 770 TT)Inaweza kuvuna shamba lote,mashine hii inavuna inapukuchua nakumwaga kwenye gari la nafaka. Baada ya hapo mkulima atatumia ( Claas Quadrant 3200 RC T) Kukusanya makuti yaliyoachwa chini. Makuti hayo baadhi yataenda kuingia kwenye mtambo wa kuzalisha umeme straw power plant au biogas power plant. Baada ya makuti haya kutumika kuzalisha umeme ule uji utakao bakia Kama taka za mwisho ni bidhaa adhimu Sana ambapo mkulima atatumia tena shambani Kama liquid fertilizer. Baadhi ya makuti yanataingizwa kwenye machine kuyakandamiza na kukausha maji halafu kutumika kutengenezea bidhaa mbali mbali Kama mbao (chip wood) au matofali (straw block)

Shambani pia mkulima ataweza kuweka viwanda mbali mbali kama kiwanda cha mafuta ya alizeti (vegetable oil distillation factory) Kiwanda cha gas (katika kutengeneza umeme wa biogas patazalishwa kwa wingi gesi ya methane ambayo utaweza kuzalisha umeme ama kuiandaa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani) pia kiwanda cha unga (wheat and corn flour milling factory)

Shamba hili litahitaji matrekta makubwa ambayo ndiyo yanaongoza kwa ufanisi duniani. Hapa nazungumzia trakta Kama Case IH Quadtrac 620 walau moja,Case IH Quadtrac STX 375 pia moja,Case IH Maxxum 130 CVR moja na mengine pia machine za kuandalia na kupandia shamba Kama Gregoire Besson Semi Mounted Plough, Farmet Kompaktomat K1570, Bourgault 3420-100 Paralink Hoe Drill, Horsch Maestro 36 row na nyingine hizi zote ni za kuandaa shamba pamoja na kupanda

Pia shamba la ukubwa huu linahitaji Agricultural Drone Korec eeBe SQ,hii ni drone ya teknologia ya Hali ya juu Sana,kazi yake kwa kutumia kamera zake maalumu inaonesha uwiano wa maji baada ya kumwagilia,rutuba katika udongo,adhari za magonjwa na wadudu,kiwango cha mbolea kinachohitajika sehemu maalumu. Kwa kutumia GPS system technology taarifa hizi itazituma katika mashine zingine zote ili kujua sehemu fulani kipindi kingine panahitaji maji zaidi au mbolea zaidi au dawa zaidi. Na mwisho wa siku kwa kutumia data kutoka kila mashine Kama vile combine havester ambayo pia wakati inavuna inapima pia na wingi wa mavuno pamoja na ukubwa wa puche iliyovunwa kwenye GPS location flani kwahiyo unajua sehemu fulani ulipata mavuno machache au mengi kwa sababu gani. Hapa pia panahitajika Agricultural Drone DJI MG 1 walau ziwe kumi, hizi hutumika kwa ajili ya kupulizia dawa na kumwagilia liquid fertilizer, zinaruka umbali wa mita 3 kutoka kwenye mmea na moja inamwagilia upana wa mita 5, pilot mmoja anaweza kuziendesha 5 kwa pamoja. Hizi zinawasiliana na mashine zingine zote kujua wapi pakuwekwa kiasi gani cha mbolea au dawa japo pia mbolea hii unaweza pia kiimwagilia kwa kutumia irrigation system inayofungwa mwanzoni.

Shamba hili linahitaji miundo mbinu madhubuti shambani kwa maana ya barabara, silos za kuhifadhia nafaka ( grain silo plant) walau 3 za tani 5000, na 3 za tani 3000. Magari ya usafirishaji,magari ya moto (fire truck ya kuzima moto)mizani ya kupia nafaka,kituo cha kujazia mafuta,Majengo ya viwanda,Majengo kwa ajili ya kuhifadhia makuti( jengo la chuma lisilo na umeme ili kuepuka hatari ya moto) na jengo la karakana kwa ajili ya kutengeneza mbao,matofali na bidhaa zitokanazo na mbao. Pia Majengo ya makazi kwa ajili ya wafanya kazi,ofisi pia kanteen ya chakula.

Mradi wa shamba hili unahitaji walau mtaji wa billion 11 za kuanzia (initial investment)na kwa kipindi cha miaka walau mitano na kuendelea faida yake kubwa inapaswa irudi shambani ambapo kwa ukamilifu wake billion 25 zitatosha kuwa mtaji wa kuendesha shamba hili kwa uwezo wake kamilifu. Mtaji huu kwa kiasi kikubwa utategemea msamaha wa kodi katika kuingiza machine zote za kilimo nchini. Shamba hili linauwezo wa kuzalisha tani 110,000 za chakula kwa mwaka kwa ajili ya masoko ya ndani Kama azam,azania na milling factory zingine pia baadhi ya mazao kwa ajili ya masoko ya nje,hapa patalimwa mahindi,ngano,shairi,maharage,alizeti pamoja na viazi. Shamba hili linauwezo wakuzalisha tani 350,000 mpaka 400,000 za makuti ambazo zingiweza kupotea aridhi lakini hapa zitatengeneza umeme mpaka mega watt 15 au 45,000,000 Nm³ Methane gas. Kwa bajeti hiyo niliyoiweka ya kuanzia (initial investment) ya billion 11,hapa unaweza kuweka mtambo wa umeme wakuzalisha mega watt 1.5 kwa maana nyingine unaweza ukahudumia umeme kwa mkoa mzima kupitia shamba hili

Pamoja na faida zingine katika shamba hili, kwa kutumia mashine na matrekta makubwa yaliyopo shambani hapa itawasaidia wakulima wote wa pembembezoni mwa shamba wenye mashamba yenye ukubwa wa ekari 1000 na kuendelea kutumia mashine hizi wakati hazina kazi shambani,ambapo kwa muda mrefu wa kuendelea kufanya hivo wakalima Hawa watajijengea uwezo wa kuweza kuagiza mashine zao wenyewe kutoka nje za ukubwa huo. Pia umeme utakao zalishwa hapa unaweza kuelekezwa katika vijiji vya Jirani na mwingine kuwekwa katika grid ya taifa kwa makubaliano na tanesco. Pia kwa kutumia machine Kama seed dressing machine na zingine patazalishwa mbegu bora kabisa kwa ajili ya wakulima wa pembeni na kwa ajili ya biashara,pia mbolea inayotoka katika mtambo wa umeme na gesi unaweza kulitosha shamba Hili pamoja na wakulima wa pembembezoni na kwa ajili ya biashara pia.

Kiuhalisia unahitaji muda mrefu wa ujuzi katika kilimo kuweza kuendesha shamba la ukubwa huu. Hakuna linaloshindikana,kwa kupitia mashamba madogo ya hekari chini ya elfu moja watanzania wanaweza kudhamiria kujijenga kiujuzi na pia kwa kuwatembelea wenzetu na kutumia wataalamu wa ndani ikawezekana watanzania wakawaida kabisa kumiliki na kuendesha mashamba ya namna hii. Mtaji wa pesa nyingi namna hii unapatikana huko huko shambani. Wapo watanzania wengi waliowekeza katika mazao ya muda mrefu hapa nazungumzia machungwa,maembe,maparachichi mkonge na mengine tena wakiwa wameanza kwa kipato kidogo lakini leo hii wanatengeneza mabilioni ya shilingi. Bila kubadilisha mitazamo yetu katika kuiendea sekta hii ya kilimo na kuamua kudhamiria kufanya kilimo chenje kujenga uchumi wetu mkubwa wa taifa zima,wazungu wataendelea kutucheka na kutushangaa kwamba kwanini tumejifunga akili zetu na kushindwa kudhubutu kutumia aridhi yetu kujiendeleza na kuweza kushindana na mataifa makubwa kiuchumi. Binafsi nathubutu kusema kwamba aridhi tuliyonayo kwa ajili ya kilimo ni mali kubwa tuliyopewa na Mwenyezi Mungu kuliko madini,mafuta au gesi ambazo kila siku tunakimbizana nazo.

Screenshot_20210724_164838.jpg
 
Upvote 9
Shukrani kwa vote. Serikali inapart kubwa ya kufanya katika Hili lakini hata sisi Vijana tunayonafasi kubwa ya kuonesha nia na uwezo ili iwe rahisi serikali kuingilia na kutoa msaada
Wenzetu walioendelea kupitia ideas tu kama hii hapa ungelamba mabilioni, wenzetu mtaji sio ishu na wanakimbizana Sana kununua mawazo kule mawazo ya mafanikio yanalipa unaweza usifanye wewe lakini ukauza wazo lako upate mtaji au joint venture thus wenzetu mifumo yao ni rahisi sana kufanikiwa
 
Wanasiasa wetu wao utaka project za sifa zaidi kuliko za tija zaidi.
Mfano tilioni moja unanulia ndege zinazokuja ajili watu 500 tu, kumbe ungeziwekeza kwenye kilimo tu ndani ya miaka 3 zingezaa mara tatu plus kumaliza kabisa tatizo la ajira nchini.
 
View attachment 1866294
Hongera mkuu kwa mawazo ya mbele. Tunatakiwa tumpate mwekezaji wa namna hii angalau mmoja.
 
Yaani wewe ndo bogus kabisa .....sasa hivi watu wanatumia Hydroponics Agricultural Mechanisms!! kaeneo kadogo tu mjini kanazalisha matani na matani ya chakula! wao wenzako wanalima kuelekea juu hewani!! wakiwa na drip irirgation ili wasipoteze maji!

wewe unalima kwa kutambaa na ardhi??? kilimo cha kizamani sana hiki kijana!!..sijui kulima kwenye miamba!! saa ngapi hii dogo wewe?? Mazao ya chakula siku hizi hakuna haja ya kwenda kufyeka misitu!!...hali ya hewa unaitengeneza wewe!! kitaalam!!

then mashine inamwagilia kwenye shina tu!! ttena kwa mahesabu inazima automatically! habari za kurusha, Maji hovyo hakuna siku hizi!! ni uharibifu! ukiona mmeanza waswahili kuagiza Combined harvest basi jua tu wao wako mbali mnoo!!

ila wanataka muwaondolee takataka hizo!!.....tatizo letu hatuna umiliki wa ardhi, km Kenya......huku ardhi ni mali ya Rais...tunakopa kwenye vi bank vya kienyeji!! vyenye misingi ya ukandamizaji vimechokaaa!...

kichekesho upate usipate utajijuu! wao wanataka hela yao waliyo kukopesha!...lkn ngozi nyeupe wao wanataka chakula kingi tu baasi! watu wazalishe wawezavyo, misaada utapewa na utasikilizwa na ma benki yao ni wakopeshaji rafiki ....

km wewe una zalisha mifugo kimeta kikiingia mifygo yako ikafa wao ndo wana dhamana ya kukulipa wewe!! tena wana kwambia ua wooote then tunakulipa cash!!! baadaye wanakukopesha tena! ili ufuge upya!

kule ulaya bana mkulima ni tajiri!! lkn Bongo mkulima eti ni bogus! mtu wa kubezwa hovyo akilima karibu na wana nchi maskini wana muibia tena! mpaka awaroge weee!!....hakopeshwi kwa heshima!!.....ashauriwi vyema! mbwana shamba wako mjini mweee!

Huko mbele Nyama yeyote unayo ijua ya kuku, pork, ya ngombe siku hizi inakuzwa na kuzalishwa maabara bila chlestrals then inasindikwa tayari kwenda kwa walaji!! huko mbele yetu kimaisha ufugaji/kilimo cha matrekta Kitakuwa hauna maaana tena! unasikiaaaa!

Na vyuo vyetu vya kilimo haviendi nawkt sijui kwa nini!!!!
 
Kwa hiyo jamaa ni mjinga,

Wewe ushauri wako nini?

JamiiForums-61081883.jpg
 
Mipasho yote ya nini? Kwani ukiongea kawaida utaeleweka hadi umzodoe mwenzio
 
Udhaifu mbaya huu!! yaani kidume gani unatetemeka kuzodolewa na mrembo anae jitambua?? loool ?!! yaani mitoto ya kambo sijui mna nini? yaani utaijua tu!! na ndo mlivyo!!....... kidogo tu!!

Basi mnalialia weee! mpaka Mama arudi toka gengeni!! ...unataka bembelezwa.. me rijali akipashwa na Mrembo anainamisha shingo! kimyaa!!......... hukufundwa weye!...sisi walimwengu ukionyesha udhaifu tunakupa za mbavu live!! hatuna huruma!...ukalilie vizuri huko chocho! mshifxbcvxczc!

Na hapo hunioni!! unanihukumu! wazi mkeo akikuzodoa live!! weye utavumilia kweli???!...una kila dalili Mkeo akikupasha unakimbia mbio shtaki kwa Mama mzazi ndo me wa type yako nyie !! .... Nae mama anakuja mbio amefunga khanga kiunoni tayari kumzodoa mkeo...ivi

''haya bibi weye kisa cha kutaka kuniulia mwanangu na mitusi mizitomizito nini???''' ........ watu hayaa!!aa!!! ajabu weye zee! zima na mindevu mpaka kusiko julikana una nibwatukia hovyo wewe!!! una bahati uko mbali.......iiii.... utaoa kweli kijana???
 
Msamehe yupo mwezini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale wale! naniliu Bwege !! ivi??? bila huyo aliye kushusha Duniani!! asinge kwenda Mwezini ungeijua key board?? jifunze kuwa na adabu kijana!...Mwezi ni kitu cha kuheshimu sana!! kwanza ulipo lia tu ukalamba!! uongo???

bisha km hukuzilamba zile za mwezini??? ...nikuonyeshe pa kuuliza!! hata huenda huyu unae mkashfu ndo Nurse aliyemsaidia huyo aliye kuleta Duniani!....km hulijui hili !! basi acha bangi uwe salama!
 
Mkuu umeachwa nini mbona mi sijamaanisha hivyo Unajua mwezin kuna baridi kali kwa hiyo ukiwa huko uki typ inakuwa ishu kidogo kueleweka sasa sijajua huyo bwege anakujaje wakati unatunukiwa kitu hadhimu
 
Mawazo mazuri zambezi_21 ingawa bl 11 ni ndoto kwa tulio wengi. Na hata hivyo Shamba la ekari 10,000 labda liwe na kuzalishia mazao yenye faida kama ngano n.k sio mahindi. Kuna mzungu analima mahindi Ila yeye anauzia Kenya na kwingine sio Tz. Hapa bongo mahindi Yana Bei ndogondogo wakati uzalishaji huo ni WA gharama Sana.
 
ukiitazama hii ndo mimi think about it again!! km unajua kweli sura za kuachwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mi naona uko na sura taam kila nikiangalia avatar yako nahisi mechi za ugenini hizooo kila shutii goooooo utaniua mama[emoji12][emoji12]
 
Kufaaaa
 
Yaani wewe ndo bogus kabisa .....sasa hivi watu wanatumia Hydroponics Agricultural Mechanisms!! kaeneo kadogo tu mjini kanazalisha matani na matani ya chakula! wao wenzako wanalima kuelekea juu hewani!! wakiwa na drip irirgation ili wasipoteze maji!

wewe unalima kwa kutambaa na ardhi??? kilimo cha kizamani sana hiki kijana!!..sijui kulima kwenye miamba!! saa ngapi hii dogo wewe?? Mazao ya chakula siku hizi hakuna haja ya kwenda kufyeka misitu!!...hali ya hewa unaitengeneza wewe!! kitaalam!!

then mashine inamwagilia kwenye shina tu!! ttena kwa mahesabu inazima automatically! habari za kurusha, Maji hovyo hakuna siku hizi!! ni uharibifu! ukiona mmeanza waswahili kuagiza Combined harvest basi jua tu wao wako mbali mnoo!!

ila wanataka muwaondolee takataka hizo!!.....tatizo letu hatuna umiliki wa ardhi, km Kenya......huku ardhi ni mali ya Rais...tunakopa kwenye vi bank vya kienyeji!! vyenye misingi ya ukandamizaji vimechokaaa!...

kichekesho upate usipate utajijuu! wao wanataka hela yao waliyo kukopesha!...lkn ngozi nyeupe wao wanataka chakula kingi tu baasi! watu wazalishe wawezavyo, misaada utapewa na utasikilizwa na ma benki yao ni wakopeshaji rafiki ....

km wewe una zalisha mifugo kimeta kikiingia mifygo yako ikafa wao ndo wana dhamana ya kukulipa wewe!! tena wana kwambia ua wooote then tunakulipa cash!!! baadaye wanakukopesha tena! ili ufuge upya!

kule ulaya bana mkulima ni tajiri!! lkn Bongo mkulima eti ni bogus! mtu wa kubezwa hovyo akilima karibu na wana nchi maskini wana muibia tena! mpaka awaroge weee!!....hakopeshwi kwa heshima!!.....ashauriwi vyema! mbwana shamba wako mjini mweee!

Huko mbele Nyama yeyote unayo ijua ya kuku, pork, ya ngombe siku hizi inakuzwa na kuzalishwa maabara bila chlestrals then inasindikwa tayari kwenda kwa walaji!! huko mbele yetu kimaisha ufugaji/kilimo cha matrekta Kitakuwa hauna maaana tena! unasikiaaaa!

Na vyuo vyetu vya kilimo haviendi nawkt sijui kwa nini!!!!
Acha matusi, maneno uliyoandika yanamaelezo mengi Sana kwamba wewe ni mtu wa aina gani, ni utoto na ufinyu wa fikira kumtukana mtu ambaye humjui kisa upo nyuma ya keyboard unataipu tuu utu na heshima vinakutoka.. kuna uwezekano mkubwa unayemtukana ukikutana naye utamsalimia na kumpaheshima zote kwahiyo mitandao yakijamii isikufanye kuwa limbukeni usiyekua na adabu kwa wenzako... Kuhusu unayosema kuhusu kilimo huna ujuzi navyo wala huelewi chochote kuhusu kilimo traditional na kilimo cha kisasa. Hiyo unayosema kulima eneo dogo hicho kinaitwa urban agriculture,wanalima watu waliopo mjini. Na hatasiku moja huwezi kulima nafaka ambazo ni large scale kwakutumia hicho unachoongea. Billgate ndiye raia anyeongoza kwa kumiliki aridhi kubwa marekani,analima kwa mbinu nilizo zieleza,naomba kwasababu wewe ni mjuzi Sana n updated kampe somo kwamba anakosea, una approach negative Sana ya maendeleo na huwa kawaida mtu anayeanza sentensi zake kwa kusema huwa sisi tanzania tuko hivi wale wako hivi,namuona mtu aliyebweteka,akili ndogo na ni anti change... Hili andiko halikudhamiria watu wa aina yako,endelea kuzunguka mitandaoni kuilaumu serekali nakutukana watu maana nahisi huko wewe ni mjuzi zaidi

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Mawazo mazuri zambezi_21 ingawa bl 11 ni ndoto kwa tulio wengi. Na hata hivyo Shamba la ekari 10,000 labda liwe na kuzalishia mazao yenye faida kama ngano n.k sio mahindi. Kuna mzungu analima mahindi Ila yeye anauzia Kenya na kwingine sio Tz. Hapa bongo mahindi Yana Bei ndogondogo wakati uzalishaji huo ni WA gharama Sana.
Billioni 11 ni process, leo hapa tulipo ni nyingi ila kilimo ukianzia chini ukifata misingi imara ya kilimo endelevu unapanda ngazi kila kukicha... Mahindi kwenye traditional farming ni ngumu kulipa lakini hesabu zimefanyika hili shamba linamizunguko mitatu ya kulima na pia katika implimatation yake linahitaji baada ya miaka atlist mitatu liwe lote lina underground irrigation system ambayo ni madhubuti Sana kwa kutunza maji, kwahiyo mavuno ni mengi na return ya investment itakua kila mwaka inacompasetiwa na mazao mengine utakayolima,plus mahindi ya 10 hct huwezi uza tz tuu lazima uweke system ya export... Dunia inauhitaji mkubwa Sana wa nafaka

Tuombe uzima. Kuna wawekezaji weupe wanakuja kulima na wengine wanakuja kufuga.
Hata Sasa Kuna mtu anatafuta Shamba la Eka 2,000.
 
Back
Top Bottom