Kilimo cha ndizi Brazil

Sijui tulikosea wapi, last week nikienda Tanga na Boss wangu mpya alishangaa sana hali ya ubichi wa nchi yetu.
Tanga wanategemea sana mazao ya kudumu, machungwa na minazi. Ukishapanda una fyekea tu kila mwaka. Kilimo cha chakula kama mpunga, mahindi, maharage na mihogo ni kidogo tu kwa mahitaji ya familia.
 
Acha kabisa hapo zaidi ya Shamba hata mazao yanakuja kwa kasi maana shamba ni safi na uangalizi ni wahali wa juu sana
Hiyo mifereji inamwagilia maji, siri kubwa ya migomba ni maji. Tuliwahi kupanda ndizi malindi ilikua kando ya karo la kuoshea vyombo. Ilitoa mkungu mkubwa sana.
 
Hakuna ndizi mchare "mshale" huko?
Naona za kutengenezea mbege tuu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…