drizzle 622
New Member
- May 13, 2022
- 3
- 2
Kilimo cha parachichi kimekua n fursa sana kwa vijana kulingana na uhalisia wa soko kubwa lililopo ndan na nje ya nchi.
Unaweza kutengeneza pesa kwa kuuza miche ulio iandaa au kuiotesha wewe mwenyew, matunda na kufanya biding na mengineyo.
Tunawezaje kuotesha miche na kujipatia pesa, nataman sana kufanya jambo hili ila watu wanashauri ni vema kutumia mbegu ya parachichi la kienyeji na sio la kisasa.
SWALI
Nawezaje kutambua Mbegu (peke) au (kokwa) ya parachichi ya kienyeji?
Naombeni msaada wenu