drizzle 622
New Member
- May 13, 2022
- 3
- 2
Trend ya parachichi kwenye soko la dunia kuna siku itafika liwe zao la kawaida na la thamani ya chini. Sio miaka mingi kutoka sasa, kwanza demand ya parachichi imetokana na hype.
Nimeona juzi kule Australia kuna wakulima waliyatupa maparachichi kutokana na gharama za transportation, packaging na labour charges kwenye mchakato huo ni kubwa kuweza kuleta faida.
Soko la parachichi halijafika level za kabla ya COVID-19 na kilimo hiki kinahamasishwa maeneo mengine duniani wakati nikifatilia ukuaji wa soko siuoni. Hype itaisha tubaki na demand halisi, na ilianzishwa na vegetarians
Hype ni kama kiki yani kitu kinakuzwa sana kuliko uhalisia. Kwamba parachichi ni zao la uhakika, soko la kutosha na linakubalika sana na ni chakula sahihi. Parachichi ni zao ambalo halikuwa linastawishwa sana, baada ya hiyo promotion kubwa maeneo mengi wamelistawisha. Walioingia mwanzo wanapata faida ila mtu asije wekeza kwa gharama kubwa hapo mbeleni miaka kama mitatu ijayo akitarajia kurudisha faida maradufu, au akiwekeza awe mwangalifu asitumie gharama sana mfano kununua shamba la bei kubwa akitarajia mauzo ya zao yatafidia.Tunaomba ufafanuz kdg kuhusu hype
Mwenzako ndio najiandaa kuanza kulima.Hype ni kama kiki yani kitu kinakuzwa sana kuliko uhalisia. Kwamba parachichi ni zao la uhakika, soko la kutosha na linakubalika sana na ni chakula sahihi. Parachichi ni zao ambalo halikuwa linastawishwa sana, baada ya hiyo promotion kubwa maeneo mengi wamelistawisha. Walioingia mwanzo wanapata faida ila mtu asije wekeza kwa gharama kubwa hapo mbeleni miaka kama mitatu ijayo akitarajia kurudisha faida maradufu, au akiwekeza awe mwangalifu asitumie gharama sana mfano kununua shamba la bei kubwa akitarajia mauzo ya zao yatafidia.
Naamini kuna muda utafika bei itashuka kwa sababu nyingi. Kubwa kabisa ni kuwa hili zao sio gumu kustawisha. Mazao yenye uhakika kubaki na bei juu ni kama vannila, cocoa na korosho ambayo sio kila sehemu wanaweza zalisha.
Na hii trend ya parachichi iliyoletwa na vegetarians itafika muda izoeleke. Soko litazidiwa na uzalishaji mwishoni bei iwe ya kawaida tofauti na sasa ambapo hata wewe unajua kuwa zao hili liko overpriced.
Kwa sasa tuendelee kufaidi hela
By speculation ni kuwa utarudisha hela na kupata faida. Dokezo langu linalenga kufanya uwepo umakini kwenye uwekezaji usije tumia gharama kubwa sana ukitarajia faida kubwa haraka. Kama shamba unalo muda mrefu au umenunua kwa gharama za kawaida basi huna pressure ya kutaka superprofit mapema.Mwenzako ndio najiandaa kuanza kulima.
Tanzania kwenye mambo ya quality control juu ya mali mbichi ilishafeli wanafanya vitu kwa mazoea ndio maana hata korosho walikuwa wanapeleka zikiwa na mchanga ndio sababu kubwa iliyofanya soko kuporomokaBy speculation ni kuwa utarudisha hela na kupata faida. Dokezo langu linalenga kufanya uwepo umakini kwenye uwekezaji usije tumia gharama kubwa sana ukitarajia faida kubwa haraka. Kama shamba unalo muda mrefu au umenunua kwa gharama za kawaida basi huna pressure ya kutaka superprofit mapema.
Tatizo la parachichi za Tanzania hazina ubora (kama kawaida ya mazao yetu yote) hasa kutokana na kuvunwa kabla ya kukomaa sana na usafirishaji mbaya unakuta mtu anabebea kwenye kiroba au kwenye gari lililofunikwa ambavyo ni kosa. Wizara haiweki viwango na kusimamia, ni kama imetelekeza private sector ihangaike kitu ambacho private sector haiwezi kwa ufanisi wa pamoja. Duniani pote quality control huwa ngumu kufanywa na private sector.
Kenya hapo mwaka jana walipewa wakati mgumu pale China ilipotaka wayameye maparachichi na kuyasafirisha yakiwa frozen kwa sababu walifeli kuzuia fruit fries ambao wanashambulia matunda. Hiyo changamoto wasafirishaji wengi iliwashinda, kwanza yakifika sokoni hayatakiwi yawe meusi maana yamemenywa ukihifadhi ovyo siku moja tu yanabadilika rangi. Kenya wana regulations zaidi yetu.
Good move. All the best
By speculation ni kuwa utarudisha hela na kupata faida. Dokezo langu linalenga kufanya uwepo umakini kwenye uwekezaji usije tumia gharama kubwa sana ukitarajia faida kubwa haraka. Kama shamba unalo muda mrefu au umenunua kwa gharama za kawaida basi huna pressure ya kutaka superprofit mapema.