Bashatu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 834
- 885
Safi sana BossMi nalima hii kitu. Miche yangu imefikia hapa![]()
![]()
![]()
Hate me at your own risk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana BossMi nalima hii kitu. Miche yangu imefikia hapa![]()
![]()
![]()
Hate me at your own risk
Hello kiongozi naomba kujoin nawewe nipate elimu na mimi juu ya kilimo cha vanillaUkiona inakushtua usije mkuu. Endelea kuogopa tu
Wala hii ni real baba.....Yale yale ya Kware
Green House
Matikiti
mbeya maeneo gan mkuuMikoa ya Kagera, Kilimanjaro, Mbeya, Morogoro wanalima mpaka leo. Infact mikoa yenye hali ya mvua nyingi na milima vanilla inastawi.
usifikiri hekari moja fikiri hadi muda unaokaa shambani miaka mingap hali ya hewa hata mvua vinyumba vya kujengeaNashukuru mkuu, labla kwa kuwa sikuweka sawa swali ni kwamba tuondoe gharama za kununua shamba kwani tayari ninalo na pia kwa hekari moja mavuno yanaweza fikia kilo ngapi?
Huku tz ndiyo mnafanya mambo kifichokuna biashara sio za kujaribu kama izo maaana sijawahi sikia mahala imebandikwa bango tunanunua vanilla
tatizo lipo kwenye miakaKuna waliojaribu Kuingia field mpk sasa?
Kagera, moro na kilimanjaro kote zinalimwa mkuuMkuu, Morogoro kuna sehemu wanalima?
Kagera, moro na kilimanjaro kote zinalimwa mkuu
Ila bei yake iko chini kulingana na masoko ya kitaifa
Bei ni 350,000/=Mkuu, unamaanisha bei halisi ni tofauti na kilichoandikwa humu?
Nasubiri piaKutoka kupanda hadi kuvuna inatumia muda gani??