Kilimo cha vitunguu kilivyonitia hasara

Kilimo cha kitunguu kinaweza kukufanya tajiri ndani ya miezi 3 tu au kurudi 0 kwa miezi 3.
Kitunguu kikubwa (grade 1 huwa inafika inachezea 230k, 240k, 250k, 270k & 300k kwa gunia za Samia au magufuli
Grade 2 (Chenga) huwa ni 150k hadi 170k
Grade C (Utumbo) ni 60k mpk 70k
Grade D (Ngadala) ni 20k mpk 30k kwa gunia ya samia au magufuli.
Bei hizi ni za mwaka 2024 (Singida). Kuanzia mwaka 2023 mpk 2024 waliobahatika kuvuna vizuri vitunguu, wamepiga hela
 
H
uu mwandiko hapana sisomi hii
 
Jamaa yangu alikopa m15 akaemda eti kulipa mbogamboga ruvu akakodi na shamba kabisa hahahaaaaaa naogopa kumalizia maana ilikuwa makasiriko kwa kila mtu.
 
Mnaanza mwezi Gani?

Mkoa Gani unaolimia?

Kila la heri,,,,,nawe usisahau kutupa mrejesho wako waji
 
Wenzio wamekufaaa n. Hasara
 
Na kakangu alilima vtunguuu moro anaongea mwenyewe MPAKA kesho chanika. Sijuagi anaongea na nani MPAKA sasa
Kama hujafika hiyo stage basi vitu km mapenzi yatakusumbua😅😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…