Kilimo cha vitunguu maji

Nyanya Lima off season hapo unapiga pesa
 
Nipo hapa
 
Tuendelee

Hiyo redbombay ya kienyeji inapatikanaje?
 
Ah ah apo kwenye kulinda unakuwa na bati au dumi akiwa anakuja kwenye shamba unapiga maana Tembo apendi kelele lkn inabidi muwe kuanzia watu watutu na kuendelea maana ukiwa mmoja unakuwa mfu mtalajiwa
Tembo wa kule wameshindikana mpaka wanatumia askari kwenda kuwafukuza Kwa bunduki. Hapo ndio una fika unatamani bwana AK arudie tu kufanya kazi yake 😂😂 ili wapungue
 
Nimependa Kuna. Rafiki yangu alilima hekaa 4 alitumia 12mil kaja kuvuna 60mil
 
Duh! Kumbe kulima vitunguu ni gharama sana kiasi hicho? Yaani ni kama milioni 3 kwa heka! Au hapa namba zimeongezwa?
Nami nasubiria jibu ya hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…