Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Ngoja nikapost story za michepuko, wake za watu, celebrities, utaona comments zitakavyojaa
 
Napenda Sanaa kilimo Cha vitunguu, ila Sina A,B,C.. za kilimo hiki.. Tafadhari mwenye uelewa na aliewahi kulima au mpk Sasa analima naomba anijuze ktk hili wadau..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa bei ya vitunguu maji Kwa sasa sehemu yoyote ulipo mdau mfano kariakoo, arusha, mwanza
 
Kwnza unataka kulima mbegu ya aina gani, na maeneo gani ambayo unahitaji kwenda kulima kutokana na ardhi yake
 
Mbegu ya muda mfupi siku 60 hadi 80 unavuna inaitwa Red Creole. Mavuno yake ni tani 14 hadi 20 kwa ekari
Inasambazwa na kampuni ya Seed-co 0736210909
 
Bei ya kitunguu kwa eneo la mang'ora kwa gunia ni shilingi ngapi kwa muda huu?
 
WAKUU NAUZA MBEGU YA KITUNGUU GUNIA LA DEBE SITA SH 2400000 YANI DEBE 400000 MBEGU NI RED CREOLE NJOO PM TUFANYE BIASHARA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…