Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau


Njia rahisi greda.
 
Last edited by a moderator:

Unasumbuka nn kodi greda.ndani ya mda mfupi tayari kazi yako tayari
 
Mimi mwenyewe nataka nilime km eka 20 ila bdo sijapata sehemu ya kulima.
 
ninalo ambalo nilifanyia kazi mwaka jana ekari 15 zipo okey 15 nyingine zinahitaji kusafishwa tema ni shamba jipya na lina rutuba

Kwa Lindi na Mtwara msimu wa ufuta unaanza lini na kuisha lini?
 
iko sehemu gani hyo shamba.taget ni shamba lilosafisha yakuingiza tractor.mashamba yasiyosafisha tunazo moro na tanga ila mda nikm hautaturuhusu kusafisha kwa mda nakuwah kilimo.taget yetu ni eka mia iliyosafishwa.km unaweza kutupatia tutashukuru.

Kwa Morogoro msimu unaanza lini?
 

Habari mkuu. Vipi bado unaendelea na ulimajia wa zao la ufuta? Tupo mrejesho. Nina shauku ya kufanya aina hii ya kilimo.
 
Habari mkuu...vipi bado unaendelea na ulimajia wa zao la ufuta? Tupo mrejesho.....na shauku ya kufanya aina hii ya kilimo

Mkuu naendelea, mashamba yanandaliwa kipindi hiki cha kiangazi, kwa sasa sipo shamba
 
Ndugu zangu kwanza habari zenu, mimi kijana kati ya wale waliopigwa na maisha, ila pamoja na ugumu uwo maisha bado sijakata tamaa, nina dhamira ya kujikwamua kimaisha, dhamira yangu kuu ni kujishughulisha na shughuli za kilimo, shida yangu kama mwenye utaalamu wa kilimo cha ufuta na hata soko lake.

Asanteni
 

Mnnnnh ufuta tena mimi najua mashamba ya mpungu tu nenda mpanda utakimbia mwenyewe.

Jembe halimtupi mja wake.
 
Ufuta ni mzuri kulima tatizo ni kama madini ukipata sana usiingie tamaa. Mimi nimeshawai lima nikapata sana niliporudi kuwekeza mara ya pili kwa pesa nyingi mtaji wangu wote na pesa yangu yote ni kama niliizika kwa maana mvua zilisomba ufuta wote sikurdisha ata ghrama ya kutunza shamba hapa nilipo ni kama nanza upya maisha coz nilitegemea sana shamba nimeishia kuangaika kwa sasa.
 
Habari,

Jamani nahitaji mwenye uelewa wa kilimo cha ufuta, kuanzia kuandaa shamba mpaka kuvuna anielekeze.
 
Bei hiyo ni ya vipimo vya kijijini ambavyo huwa na kg 2 sawa TZS 5400 kwa huku lakini bei ya 1kg ni 2600 kwa sasa imeshuka watu wengi wameleta ufuta na mwakani itashuka sana maana watu wengi watalima.
 
Bei hiyo ni ya vipimo vya kijijini ambavyo huwa na kg 2 sawa TZS 5400 kwa huku lakini bei ya 1kg ni 2600 kwa sasa imeshuka watu wengi wameleta ufuta na mwakani itashuka sana maana watu wengi watalima.

Aisee, kumbe! Mbona wanivunja moyo mkuu, nilitaka kulima mwaka huu mwezi wa 11
 
Usivunjike moyo ufuta hautabiliki we lima kwa wingi utakuwa tajiri cha msingi ni kujua soko na bei nzuri tuwasiriane lkn ningependa jua unataka kulima wapi ili nikupe ushauri zaidi.

Asante mkuu. Natarajia kulimia maeneo ya huku ukanda wa Rufiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…