Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Mkuu,
Mie simu yangu na email huwa ipo hapa maana ni moja ya kazi zangu kuunga wafanya biashara wa Poland na Tanzania.
Hivyo jisikie huru kuniandikia kuangalia kama utaweza kuifanya biashara hiyo pamoja na nyingine nyingi.
EMAIL: Ssambali@hotmail.com
Tel: +48503535735
Jamani nauliza bei ya ufuta kwa kilo ikoje? Samahani kwa usumbufu
Habari,
Jamani nahitaji mwenye uelewa wa kilimo cha ufuta, kuanzia kuandaa shamba mpaka kuvuna anielekeze.
Nina eka 40 Kiwangwa bagamoyo na Tayari shamba limesafishwa kwa ajiri ya kilimo Cha ufuta na mahindi hapo feb, watu wa kule wananiambia hakuna haja ya kulima kwa trekta, hii imekaaje wadau? Na vipi Kilimo CHA ufuta bagamoyo kinakubali? Tupeane uzoefu ndugu zangu.
Asante
Usivunjike moyo ufuta hautabiliki we lima kwa wingi utakuwa tajiri cha msingi ni kujua soko na bei nzuri tuwasiriane lkn ningependa jua unataka kulima wapi ili nikupe ushauri zaidi.
habari kaka?samahani una contacts ambapo naweza pata mbegu ya ufuta?
Kaka mim nipo vizuri kidogo ila inabidi un PM no yako ili tuongee vizuri maana ufuta unapesa nzuri sana sema kazi ipo kidogo kwenye kulima ila ukilima kitaalamu utapata sana pesa na hapa ndipo wengi hukosea.
Hyo mbegu inaitwaje na inapatikana wp?
I mean naipataje?
Nawez pia.kujua aina zingine za mbegu za ufuta besides hyo?
Habari ya pilika gwiji??
Mie pia sifahamu. Ila naambiwa inategemea na msimu wake. Zikiwa nyingi, bei inashuka, ukiisha msimu, inapanda.
Naona unakifaham vyema hiki kilimo. Nilikuwa nina mpango wa kulima alizeti ila nimeshawishika kulima ufuta kama ekari 15, vipi kuna magojwa gani ambayo ni common nitakayopambana nayo na dawa zake.Kama unaamua kuanza kufanya kilimo cha ufuta hakikisha unaajiri mkulima ambae ameshalima ufuta zaidi ya mara tatu katika shamba lake awe mshauri wako na msimamizi wa shamba.
Pia unaweza kuwatumia maafisa kilimo. Ila usianze in large scale, anza kidogo huku ukikua kwa vile utakuwa unajifunza.Kilimo kinalipa, ila kinahitaji courage na kutokukata tamaaKabengwe
Je, hili zao linahitaji mvua kwa muda gani na muda gani halihitaji mvua kabisa, nikiwa na maana yakitoa maua mvua haitakiwi kabisa.Ufuta hauhitaji mvua nyingi. Sasa kwa kipindi hiki inaonekana mvua zinaendelea kunyesha tu kiasi ambacho maua yatakuwa yanaharibika na kushindwa kutengeneza matunda vizuri ya ufuta. Hebu tusaidiane hapo nini kinachotakiwa kufanyika
Umeshalima au upo kwenye maandalizi ya kilimo cha ufuta.Asanten wadau mmenipa mwanga mkubwa juu ya hiki kilimo. Inshaallah najiandaa nilime mwaka huu panapo majaaliwa ntawapa mrejesho
Ninalima mkuranga mwaka huu, tutafahamishana nitakachoexperience, ntaanza na ekari 10. Asanteni kwa experiences zenu