Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Mkuu,

Mie simu yangu na email huwa ipo hapa maana ni moja ya kazi zangu kuunga wafanya biashara wa Poland na Tanzania.

Hivyo jisikie huru kuniandikia kuangalia kama utaweza kuifanya biashara hiyo pamoja na nyingine nyingi.

EMAIL: Ssambali@hotmail.com
Tel: +48503535735

Jamani nauliza bei ya ufuta kwa kilo ikoje? Samahani kwa usumbufu
 
Jamani inawezekana kupanda pamoja zao la ufuta na mbaazi na pia matokeo yake yakoje kwa kila zao. Tafadhali naomba nijuzwe sababu nahitaji kufanya project ya kilimo mwaka huu.
 
Nina eka 40 Kiwangwa bagamoyo na Tayari shamba limesafishwa kwa ajiri ya kilimo Cha ufuta na mahindi hapo feb, watu wa kule wananiambia hakuna haja ya kulima kwa trekta, hii imekaaje wadau? Na vipi Kilimo CHA ufuta bagamoyo kinakubali? Tupeane uzoefu ndugu zangu.

Asante
 
Hello sir street smart naomba tuwasiliane Nina Shida ya elimu ya ufuta na nimevutiwa sana na ushuhudiaji wako,
plizz brother!
 
Habari

Namm ningeenda kuanza kulimaufuta mwakani. Naomba kujua experience yako ya July 2014 ilikuwaje? Na nawezaje kuwasiliana na wewe kwa msaada zaidi.
 
Nina eka 40 Kiwangwa bagamoyo na Tayari shamba limesafishwa kwa ajiri ya kilimo Cha ufuta na mahindi hapo feb, watu wa kule wananiambia hakuna haja ya kulima kwa trekta, hii imekaaje wadau? Na vipi Kilimo CHA ufuta bagamoyo kinakubali? Tupeane uzoefu ndugu zangu.
Asante

Mkuu, watu wa bagamoyo wavivu sana. nina mashamba huko, kuna mtu mmoja ana mashamba mengi sana huko anasema yeye huwa anachukua vijana wa kulima toka shinyanga.

Nachojaribu kusema ni kuwa, kutokana na uvivu toka zamani wao wamekuwa wakiishi kwa kupabda bila kulima jambo ambalo sidhani ni zuri hivyo imefikia stage wameacha kabisa kulima wao ukifika msimu wa mvua wanaenda kupanda.

Malila & Kubota ni sawa kupanda bila kulima?
 
Last edited by a moderator:
Usivunjike moyo ufuta hautabiliki we lima kwa wingi utakuwa tajiri cha msingi ni kujua soko na bei nzuri tuwasiriane lkn ningependa jua unataka kulima wapi ili nikupe ushauri zaidi.

Habari kaka?samahani una contacts ambapo naweza pata mbegu ya ufuta?
 
Kaka mim nipo vizuri kidogo ila inabidi un PM no yako ili tuongee vizuri maana ufuta unapesa nzuri sana sema kazi ipo kidogo kwenye kulima ila ukilima kitaalamu utapata sana pesa na hapa ndipo wengi hukosea.

Hyo mbegu inaitwaje na inapatikana wp?
I mean naipataje?
Nawez pia.kujua aina zingine za mbegu za ufuta besides hyo?

Habari ya pilika gwiji?
 
Kama unaamua kuanza kufanya kilimo cha ufuta hakikisha unaajiri mkulima ambae ameshalima ufuta zaidi ya mara tatu katika shamba lake awe mshauri wako na msimamizi wa shamba.

Pia unaweza kuwatumia maafisa kilimo. Ila usianze in large scale, anza kidogo huku ukikua kwa vile utakuwa unajifunza.Kilimo kinalipa, ila kinahitaji courage na kutokukata tamaaKabengwe
Naona unakifaham vyema hiki kilimo. Nilikuwa nina mpango wa kulima alizeti ila nimeshawishika kulima ufuta kama ekari 15, vipi kuna magojwa gani ambayo ni common nitakayopambana nayo na dawa zake.
 
Ufuta hauhitaji mvua nyingi. Sasa kwa kipindi hiki inaonekana mvua zinaendelea kunyesha tu kiasi ambacho maua yatakuwa yanaharibika na kushindwa kutengeneza matunda vizuri ya ufuta. Hebu tusaidiane hapo nini kinachotakiwa kufanyika
Je, hili zao linahitaji mvua kwa muda gani na muda gani halihitaji mvua kabisa, nikiwa na maana yakitoa maua mvua haitakiwi kabisa.
 
Ninalima Mkuranga mwaka huu, tutafahamishana nitakacho-experience, ntaanza na ekari 10.

Asanteni kwa experiences zenu.
 
Ninalima mkuranga mwaka huu, tutafahamishana nitakachoexperience, ntaanza na ekari 10. Asanteni kwa experiences zenu

Mkuu mkuranga kilimo hiki kinafanyika mwezi wa ngapi? I mean maandalizi mpaka kuweka mbegu shambani.
 
Back
Top Bottom