The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Hapo mkuu sijakuelewa kitu kimoja,HAITAKIWI MVUA ZA MASIKA ZIKUTE UFUTA EMESHAANZA,kuanza kuota au kuanza maua, na wastani maua yakitoka hukaa mda gani matunda ndo yaanze kutoka ili kwamba hata ikikutana na mvua haitasumbua sana maana huku ninapolima mimi mvua zitaanza January na March zinakolea ila mwezi wa April mwanzoni au katikati zinakata so hapo unashauri nipande mwezi gani, vip space inakuwaje maana nimetafuta sana kwenye net but sijapata jibu, na je kuna dawa za kuua magugu baada ya miche kuota.Mkuu mbimbinho,km shamba halijalimwa cdhani km kuna umuhim wa Mbolea ila ikiwa una mashaka cvibaya kuweka km kujilidhisha2 Manake hii mambo ya KILIMO haitaki kujaribu! na khs MVUA nunua MBEGU ya muda mfupi kisha vizia Mvua zinapoanza km mwisho wa Mwezi wa PILI hv zikichanganya kufikia Mwezi wa 4 mwishoni zinakatika, Haitakiwi MVUA za masika zikute UFUTA umeshaanza hakika utajuta! cha muhimu nikufanya TIMMING ya MVUA2!