Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Mkuu mbimbinho,km shamba halijalimwa cdhani km kuna umuhim wa Mbolea ila ikiwa una mashaka cvibaya kuweka km kujilidhisha2 Manake hii mambo ya KILIMO haitaki kujaribu! na khs MVUA nunua MBEGU ya muda mfupi kisha vizia Mvua zinapoanza km mwisho wa Mwezi wa PILI hv zikichanganya kufikia Mwezi wa 4 mwishoni zinakatika, Haitakiwi MVUA za masika zikute UFUTA umeshaanza hakika utajuta! cha muhimu nikufanya TIMMING ya MVUA2!
Hapo mkuu sijakuelewa kitu kimoja,HAITAKIWI MVUA ZA MASIKA ZIKUTE UFUTA EMESHAANZA,kuanza kuota au kuanza maua, na wastani maua yakitoka hukaa mda gani matunda ndo yaanze kutoka ili kwamba hata ikikutana na mvua haitasumbua sana maana huku ninapolima mimi mvua zitaanza January na March zinakolea ila mwezi wa April mwanzoni au katikati zinakata so hapo unashauri nipande mwezi gani, vip space inakuwaje maana nimetafuta sana kwenye net but sijapata jibu, na je kuna dawa za kuua magugu baada ya miche kuota.
 
Wakuu nitapata wapi mbegu za ufuta? nategemea kupanda mwanzoni mwa mwezi wa pili. Natanguliza shukrani
 
Mbegu za UFUTA chek na jamaa wa SUBA GRO wako kkoo...niPM nikupe namba zao au km utakuwa na MTWARA aende pale NALIENDELE
 
Mbegu za UFUTA chek na jamaa wa SUBA GRO wako kkoo...niPM nikupe namba zao au km utakuwa na MTWARA aende pale NALIENDELE

Nimewapigia wamesema wataniangalizia kesho watanipa jibu.
 
Mbegu za aina gani?usinunue kila mbegu

Ktk soma yangu ya hii thread nimeona Naliendele 92 na lindi 2002 ndiyo zinafaa . Nataka itakayotumia muda mfupi kukomaa na inayohimili magonjwa. Nategemea kupanda maeneo ya Bwawani, Moro. Au unashaurije mkuu
 
Ktk soma yangu ya hii thread nimeona Naliendele 92 na lindi 2002 ndiyo zinafaa . Nataka itakayotumia muda mfupi kukomaa na inayohimili magonjwa. Nategemea kupanda maeneo ya Bwawani, Moro. Au unashaurije mkuu

Tumia lind,i2002
Check na jamaa wa Suba Agro kwa Dar ila Moro check na asa
 
Tumia lind,i2002
Check na jamaa Wa suba agro kwa dar ila Moro check na asa

Nashukuru Mkuu, niko Dar, kesho nitaenda kulitafuta hilo duka Kidongo chekundu. Hilo la Kkoo (SUBA AGRO) liko K'koo ipi? Sokoni au? Mnivumilie wadau, ndiyo naanza, na nimehamasika humu humu.
 
Nashukuru Mkuu, niko Dar, kesho nitaenda kulitafuta hilo duka Kidongo chekundu. Hilo la Kkoo (SUBA AGRO) liko K'koo ipi? Sokoni au? Mnivumilie wadau, ndiyo naanza, na nimehamasika humu humu

Suba Agro wapo Kidongo Chekundu. Opposite na Dar es salaam Secondary
 
Suba agro wapo kidongo chekundu
Opposite na dar es salaam secondary

Asante Gwijimimi

Nimefika suba agro wameniambia zimeisha ila kuna mkulima wao wa Karatu alinunua kwao, anauza shs 9000/kg wakati wao wanauza 6500/kg. Nafikiria kuangalia Moro.
 
Asante Gwijimimi
Nimefika suba agro wameniambia zimeisha ila kuna mkulima wao wa Karatu alinunua kwao, anauza shs 9000/kg wakati wao wanauza 6500/kg. Nafikiria kuangalia Moro

Umechukua contact za huyo mkulima? Moro unaenda lini tuwasiliane
 
Umechukua contact za huyo mkulima?
Moro unaenda lini tuwasiliane

Dada wa SUBA AGRO hakuwa tayari kunipa contact za mkulima, kasema niweke order na pesa niache kwake. Sijampa pesa bado. Maduka ya mbegu za ufuta yako Moro sehemu gani?

Naweza kuja muda wowote. Wewe upo Moro? NimekuPM.
Thanks
 
Back
Top Bottom