Kilimo kinalipa? au niwaze mambo mengine!

Dogo mawazo yko mazuri kilimo kinalipa kahawa na ndiz ni mazao yatakayochukua mda mrefu na utunzaji wahitajika...
Hakikisha unatumia kilimo cha kisasa

ubarikiwe.
 

Kiujumla Kilimanjaro kinalipa kikifanyika kitaalamu. Lakini ngara na dar es salaam, ni sawa na ahera na dunia, ni full majanga!
 
Kilimo kinalipa sana hakuna biashara yenye ROI kubwa Kama Kilimo mkuu.Fanya utafiti utanambia kwa hili,hulipi kodi,pembejeo unauziwa bei Sawa na bure sasa si super profit hiyo Mungu akupe nini

Are you serious pembejeo ni bei sawa na bure?!!
 

Uko wapi Malila
Nije kula shule ya kilimo na ufugaji kuku
 
Uko wapi Malila
Nije kula shule ya kilimo na ufugaji kuku

Niko mkoani Lindi naangalia fursa za huku. Unajua kila siku lazima kujifunza. Huku kuku wa kienyeji wanauzwa bei ndogo, na hata mbuzi wanauzwa bei ndogo.
 
Niko mkoani Lindi naangalia fursa za huku. Unajua kila siku lazima kujifunza. Huku kuku wa kienyeji wanauzwa bei ndogo, na hata mbuzi wanauzwa bei ndogo.

Unatisha mkuu!
Sikupatii picha miaka 10ijayo utakuwaje kiuchumi!
Utarudi lini dar nakuhitaji sana
 

Sasa mda wa kuvuna ufike c yupo mwaka wa mwisho chuo?
Mpe kijana ushaur cha kufanya akisubir matokeo
 
Ha ha ha

Tukaribishane kwenye hiyo chai

Sio utani dada,

Kila mwaka sisi tunaootesha miti huwa tunakutana mara moja,kisha tunapeana taarifa za maendeleo, sasa huwa tunaita chai day kwa sababu siku hiyo huwa tunakunywa chai tu ili tuweze kusikilizana vizuri. Kuna watu wakinywa maji ya Ilala, huwa wanahama tune. Kwa hiyo kwa masaa manne ni chai,kahawa,maji,soda basi. Karibu.
 
Ngoja nitafute hela nilime na kuanzisha biashara ili iwe back up ya kupata hela za kuendesha shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…