Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta bangi tu?

Vijana kwenye kilimo kuna hela.asiwaambie mtu aisee last year nili earn 30 milioni na this year nimekamata milioni 50 per year nyie wengine mtashindwa nini?

Au mnasubiria serikali yenu ya maCcm ikawapa ajira? Ajira si kitu ni michosho tu asiwaambie mtu si unaona mpaka nimebadilisha jina mpaka sasa najiita bilionaire kekeman?

Ebu fikiri kijana mdogo kama mime hata 30 sijafika ndiyo kwanza nipo 27 nina zaidi ya milioni 150 kwenye akauti wewe una nini? Yaani utakuta ndiyo kwanza una zaidi ya 30+ plus maisha yako hauyaelewi kabisa aisee poleni

Call me bilionaire kekeman, poleni mnashindwa njaa sie tunashinda.mijihela.
 
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta bangi tu...
Wacha usiwastue waendelee kuimbishwa porojo na Machadema watagawiwa pesa 😆🤣

Mwisho japo umeweka chumvi nyingi ila msipotoka awamu ya Samia hutoki tena.
 
Ebu fikiri kijana mdogo kama mime hata 30 sijafika ndiyo kwanza nipo 27 nina zaidi ya milioni 150 kwenye akauti wewe una nini? Yaani utakuta ndiyo kwanza una zaidi ya 30+ plus maisha yako hauyaelewi kabisa aisee poleni
Oyaaa 😂😂😂
27 tayari we kibabu

Watu wana 18yrs na wanaingiza hizo M50 monthly.

Chai yake chai
 
Achana na sele wa mboso kuna side mnyamwezi, kuna mtoto iddi, kuna ahmada cha pombe, halafu kuna bwana athumani.

Athumani akishalewa lewa.
Anashindwa kujielewa lewa.
Talilalila lila, chicha limemkolea.

😂🤣😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom