Mlandizi sehemu gani, fanya kitu kimoja kachote sample za udongo shambani then peleka pale kongowe au mail moja kuna maabara za kilimo watakuambia udongo wako unafaa kulima nini, otherwise usijaribu maana ardhi ya pwani sio suitable kwa kilimo kinachoeleweka usijepoteza nguvu na mda na pesa.