Ndio mkuu. Kiufupi. Shamba lipo la mtu wangu wa karibu nae hajawahi kulima,kapewa km urithi na anaondoka tz sasa,ndo ameniachia niliendeleze. Ndo nauliza ambaye anauelewa na ardhi ya mlandizi nijue cha kufanya
Mlandizi sehemu gani, fanya kitu kimoja kachote sample za udongo shambani then peleka pale kongowe au mail moja kuna maabara za kilimo watakuambia udongo wako unafaa kulima nini, otherwise usijaribu maana ardhi ya pwani sio suitable kwa kilimo kinachoeleweka usijepoteza nguvu na mda na pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.