Kilimo mlandizi

Kilimo mlandizi

Drewz

New Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Jamani napenda uliza maeneo ya mlandizi mazao gani yanakubali sana??
 
Ndio mkuu. Kiufupi. Shamba lipo la mtu wangu wa karibu nae hajawahi kulima,kapewa km urithi na anaondoka tz sasa,ndo ameniachia niliendeleze. Ndo nauliza ambaye anauelewa na ardhi ya mlandizi nijue cha kufanya
Mlandizi si bora usogee apo ruvu mkuu

Wewe ulikuwa ume panga kulima.
 
Mlandizi sehemu gani, fanya kitu kimoja kachote sample za udongo shambani then peleka pale kongowe au mail moja kuna maabara za kilimo watakuambia udongo wako unafaa kulima nini, otherwise usijaribu maana ardhi ya pwani sio suitable kwa kilimo kinachoeleweka usijepoteza nguvu na mda na pesa.
 
Sawa kaka,wacha nikabebe sample ya udongo maana nilikua sijui maabara za kilimo zilipo pia
 
Back
Top Bottom