Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
we unabiashara gani zaidi ya kushida JF kuwa tetea mashetani wako wa CCMBora Biashara au fanya yote Ili ku spread risks.
Nawatetea mashetani au najitetea mwenyewe kwenye ushetani wangu? Nikutetee wewe Malaika Ili unisaidie nini unadhani?we unabiashara gani zaidi ya kushida JF kuwa tetea mashetani wako wa CCM
we kinabo wa CCMNawatetea mashetani au najitetea mwenyewe kwenye ushetani wangu? Nikutetee wewe Malaika Ili unisaidie nini unadhani?
Pili biashara sio tuu kushinda gengeni au sokoni.
Jibu hoja,niwatetee nyie Malaika Ili mnisaidie nini?we kinabo wa CCM
Kipapachure we CCM linda mgongo na marinda ila hata marinda washakutoaJibu hoja,niwatetee nyie Malaika Ili mnisaidie nini?
Kama wamenitoa wewe unaumia nini? Na wewe katolewe ufaidi? Utaishia kuwa mpumbavu hivyo hivyoKipapachure we CCM linda mgongo na marinda ila hata marinda washakutoa
bora kava na protector haziharibiki, sasa mahindi si yataoza?Vyote changamoto ndugu.Usiombe ukutane changamoto kama uchawi wa serikali,watu na kidunia.
Kivule wewe CCM aka Lucas MwashambwaKama wamenitoa wewe unaumia nini? Na wewe katolewe ugaidi? Utaishia kuwa mpumbavu hivyo hivyo
🚮🚮Kivule wewe CCM aka Lucas Mwashambwa
Lucas Mwashambwa wewe una lolote leo unashinda hapa ofisini geuka nyuma
Better the devil you know!Vyote changamoto ndugu.Usiombe ukutane changamoto kama uchawi wa serikali,watu na kidunia.
We acha tu yani ukiweza kushinda changamoto na ukapatia soko basi umeweza ila kila sehemu kuna changamoto zake.Better the devil you know! S mahindi tani mbili John atapeleka wapi?
Hujaona tangazo la kuzuia mahindio kuuzwa kwasababu ya El Nino? Utashindaje hapo?We acha tu yani ukiweza kushinda changamoto na ukapatia soko basi umeweza ila kila sehemu kuna changamoto zake.