Duh!Ni kweli hata mimi imenikaushia sana bustani za mboga nyumbani, nilipo gundua hili mama mkwe wangu tu bi kizee ndio anachuma na kaka anazihudumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mboga aina gani unalima?
Wazee wetu wa zamani walikuwa wanatoa mafunzo kwa njia ya mafumbo/ulinganisho wa mambo, kwa bahati mbaya vizazi visivyohoji vimeshindwa kufumbua haya mafumbo na ndio yanatuangamiza mpk leo
Sent using Jamii Forums mobile app