SoC02 Kilimo na Ufugaji yawe masomo ya lazima shule za Msingi na Sekondari

Stories of Change - 2022 Competition

YahilimaPaul

New Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi.

Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi.

Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili.

1. Hawana taaluma ya kilimo na ufugaji
Wasomi wanashindwa kujiingiza kwenye sekta hii kwa sababu hawana utaalamu na hata mtaani kuna uchache wa maafisa wabobezi wa kilimo na ufugaji. Mfano wahitimu wengi hawajui ni kilimo cha zao gani kinafaa kwenye mazingira yao na hawajui namna gani watakabili changamoto kwenye kilimo na ufugaji husika, hivyo wanaukosefu wa taaluma. Endapo masomo haya yangekuwa ya lazima kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne,wengi wangekuwa na maarifa juu ya sekta hizi.

2. Uhaba wa mitaji
Japo kilimo ni uti wa mgongo wa taifa lakini serikali za nchi za AFRIKA hazijawekeza vilivyo kwenye kilimo na ufugaji licha ya faida kubwa ya sekta hizi. Wananchi katika nchi hizi hawana mitaji ya kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji,Kwa mfano ni wananchi wachache wanamudu kilimo cha umwagiliaji.

FAIDA ZA SOMO LA KILIMO NA UFUGAJI SHULENI.

1. Kujenga uelewa kwa wanafunzi juu ya shughuli za awali wanaozifanya tokea wadogo,kwa kuwa wazazi walio wengi ni wakulima na wafugaji hivyo mwanafunzi atajenga uelewa mpana na ulio bora juu ya shughuli ya mzazi wake.

2. Itapunguza utegemezi wa ajira za serikali kwa wahitimu kwani baada ya masomo watakuwa tayari kufanya wanachokijua (practicality) kuliko wanachofunzwa bila kukiona ( Theory).

3. Kusaidia wanafunzi kuyajua mazao yaliyobora kutokana na mazingira yao na kuwawezesha kuanza kufanya majaribio wakiwa wadogo. Mfano mwanafunzi atapata uelewa wa mbegu gani iliyo bora na mifugo gani afuge ili impe faida ya haraka.

4. Kuchochea uvumbuzi kwa vijana na kuwafanya wazijue fursa za biashara ya kilimo na ufugaji ndani na nje ya nchi, Mfano Nchi za Afrika mashariki na kati kuna baa la njaa takribani kila mwaka,kama vijana wangekuwa na uelewa mkubwa wangeweza kulima mazao ya chakula zaidi na kuwapa faida kubwa.

Kama yalivyo masomo ya Hisabati (Basic Mathematics) ,Uraia(Civics),na lugha zetu pendwa kama Kiswahili na Kingereza, Masomo haya ni ya lazima shuleni na yana faida zisizo za moja kwa moja kama ilivyo kwenye kilimo na Ufugaji.

Inapendeza zaidi kilimo na ufugaji yawe masomo ya lazima na yafundishwe kuanzia shule za msingi hadi kidato cha nne.

SERIKALI IFANYE YAFUATAYO KUKAMILISHA HILI NA KULETA TIJA .

1. Ianze kufundisha kwa upana wataalamu( walimu) wa kilimo na ufugaji ambao wataenda shuleni kuanza kufundisha,hii itasaidia kupunguza mrundikano wa wasomi wasio na ajira maana wengi wataanza kusoma fani ya Ufugaji na kilimo.

2. Serikali iandae mazingira bora mapema ya kilimo bora kisichotegemea mvua( kilimo cha umwagiliaji)

3. Serikali iweke punguzo za pembejeo za kilimo kuwasaidia wahitimu kumudu gharama za kilimo na ufugaji.

4. Serikali iandae soko zuri la ndani na nje la Mazao ya kilimo na wafugaji ambalo litawezesha vijana kuingia kwenye sekta hizi bila kuhofia kupata hasara.

Ndimi
Yahilima PM
 
Upvote 3

Nakubaliana na wewe
 
Umewaza mbali sana asee ,hongera
 
Back
Top Bottom