Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia
kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia
Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia
Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
Ni Kweli Mali inapatikana shambani.Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia
kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia
Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia
Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
You are either pregnant or not pregnant; you cannot be somehow pregnant. Ila hata siku moja sitoi mawazo yangu kwa kutegemea kuungwa mkono kwa sababu naheshimu sana uhuru wa mtu kutoa mawazo yakePamoja na kwamba ww ni mjinga mjinga, lakini kwa hili la kazi ya kilimo uko sahihi. Kazi ya kilimo ndio pekee unaweza kufanya ukiwa na umri wowote ili mradi ni mzima bila kulazimishwa kistaafu.
Mkuu u wapi uhusiano kati ya utajiri na biashara? si uoniNi Kweli Mali inapatikana shambani.
Mkumbuke BWANA Mungu wako, maana Yeye ndiye akupaye nguvu za kuwa TAJIRI. (Kumbuka 18:17.) Hapo inaongelewa Biashara.
Bt usisahau ardhini Mungu Ameweka madini mbalimbali, lazima yachimbwe, nyumba lazima zijengwe watu waishi ndani yake.
Ameweka samaki baharini, lazima wavuliwe nk nk.
All in all KILIMO ndo backbone ya chumi nyingi duniani.
Ukilima mazao mengi, ukatunza ghalani, ukiyatoa yaende sokoni wakati wa njaa BIASHARA itahusika, ukipata pesa mingi na kuwekeza UTAJIRI u mlangoni.Mkuu u wapi uhusiano kati ya utajiri na biashara? si uoni
You are either pregnant or not pregnant; you cannot be somehow pregnant. Ila hata siku moja sitoi mawazo yangu kwa kutegemea kuungwa mkono kwa sababu naheshimu sana uhuru wa mtu kutoa mawazo yake
Elimu ni jambo zuri sana. Yeyote aikataae au aipingae elimu basi ni sawa na mfu. Hata kilimo ili uweze kukimudu na kiwe na tija, basi ni lazima uwe na elimu. Mkulima aipingae elimu basi ni aidha mjinga au ni mpumbavu. Kilimo ndio msingi wa kwanza wa maendeleo wa mtu au jamii yeyote ile duniani. Historia inatuambia watu wa kwanza kuendelea ni wale walioanza kulima kwanza. Hata leo walioendelea ni wale waliobobea kwenye kilimo na kujitosheleza kwenye chakula. Katika dunia ya leo ambayo kilimo ni biashara, wenye afya njema ni wale wenye uhuru wa kilimo.MITHALI 4:13.
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake;
Mshike, maana yeye ni uzima wako.
kilimo (farming) ni model/kielelezo cha shughuli yoyote halali impasayo mwanadamu. Ukitumia kielelezo cha kilimo unaweza kuelezea muundo msingi wa shughuli yoyote ya kibinadamu; mfano kilimo kina hatua hizi: kuandaa shamba, kupanda, kupalizi, kumwagilia, kulinda mazao, kuvuna na mwisho kuuza au kutumia ukichopanda. Shughuli zote za kibinadamu zina muundo msingi huo.Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia
Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia. Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
Mkuu kuuza mazao siyo mpango wa Mungu HAYO NI YENU TU. Unalima unamuuzi a nani wakati kila mtu amejilimia kila anachohitaji?kilimo (farming) ni model/kielelezo cha shughuli yoyote halali impasayo mwanadamu. Ukitumia kielelezo cha kilimo unaweza kuelezea muundo msingi wa shughuli yoyote ya kibinadamu; mfano kilimo kina hatua hizi: kuandaa shamba, kupanda, kupalizi, kumwagilia, kulinda mazao, kuvuna na mwisho kuuza au kutumia ukichopanda. Shughuli zote za kibinadamu zina muundo msingi huo.
Wewe ungevaa nini kama pasingekuwepo mshonaji wa mavazi?!
Hii ndo siasa kwenye KILIMO sasa.Mkuu kuuza mazao siyo mpango wa Mungu HAYO NI YENU TU. Unalima unamuuzi a nani wakati kila mtu amejilimia kila anachohitaji?
Sijui una umri gani ila napenda nikwambie una kula kile mazingira yako yanaweza zalisha ndiyo maana kwa mhaya ugali wanafaka siyo chakula kama ilivyo kwa msukuma na mkerewe hawezi kula samaki wabaharini. kwa muktadha huo mtu hawezi kutamani ndizi ikiwa mazingira yake hayaruhusu kulima ndiziHii ndo siasa kwenye KILIMO sasa.
Una shamba la kulima Kila unachohitaji?
Hapo ndo biashara inapoanzia kwenye KILIMO.Sijui una umri gani ila napenda nikwambie una kula kile mazingira yako yanaweza zalisha ndiyo maana kwa mhaya ugali wanafaka siyo chakula kama ilivyo kwa msukuma na mkerewe hawezi kula samaki wabaharini. kwa muktadha huo mtu hawezi kutamani ndizi ikiwa mazingira yake hayaruhusu kulima ndizi
Ndo biashara yenyewe, Kwa lugha ya kigeni inaitwa Barter Trade.Kama ni hitaji la lazima- tunabadirishana