Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Mie huwa naona fahari sana mtu akiongea ukweli lakini sio kuja kuongea ujinga ujinga eti "msikimbilie ajira fanyeni kilimo" nadhani labda huwa mnaongelea kilimo cha bangi hicho ndio kinalipa fasta.

Semeni ukweli tu kilimo hata nchi zilizoendelea kinafanywa na matajiri na wala sio watu wa kawaida, unapoongelea kilimo ukasema unalima eka 3 hiyo ni bustani sio kilimo. Mimi ninalima na ninajua kilimo lakini husijekusema kijana unakomalia ajira kwa nini, wengine mara oooh hauna pesa unamilikije iphone x au samsung s8 sidhani kama hiyo inahusiana....

Unapoongelea kilimo kuna vitu hivi la, ima uviweke kichwani na vitahitaji fedha

1. Ardhi
2. Mbilea
3. Maji
4. Usimamizi
5. Mafanyakazi
6. Matunzo
7. Mbegu
8. Madawa
9. Uvunaji
10.uhifadhi wa mazao
11.ushindani wa bei sokoni
12.kuoza au kuharibika

Hiyo ni kwa kilimo cha kizamani, hapo ukisema ulime kisasa kuna kuweka drip irrigation system kwa eka 1 tu unatumia zaidi ya 1,450,000/= haya fanya unalima ekari 5 utatumia bei gani...!!!!

Mie nadhani ni vema tusikichukulie poa kilimo, na tusifananishe kilimo na bustani....atanzania wakulima ni wachache ndio maana masikini wengi wanapatikana huko.

Masoko yenyewe miyeyusho unalima nyanya unakuta bei ni 2000 kwa kile kindoo cha lita 5 si mtu utakufa na mawazo....

Unapokuja kusema uongo eti umewekeza 500,000 baada ya miezi minne ukavuna mahindi ya 3,000,000/= huu ni uwongo mweupeeee pee......ukiambiwa leta cost zote sidhani kama utaweza zaidi ya kujiuma uma.
 
Asante mkuu
 
Umeongea ukweli sana ila tu ulichokosea au kusahau ni kwamba hata hao matajiri unaosema ndo wanafanya kilimo si kwamba walizaliwa matajiri.

Sio kwamba mtu alianza paaap analima ekari 300 tena mechanized kabisa.

Tuhamasishe vijana tuanze chini ili pia tupate muda wa kujifunza.

Chukulia mfano mdau aliyelalamika hapo juu alilima heka 1 ya maharage na hakuvuna kitu, vipi angelikuwa amelima ekari 100 na hajavuna kitu angekuwa hai huyo?
Bila shaka kupitia hiyo hasara amejifunza kitu fulani.
 
Ndio maana nimesema kuna usimamizi na matunzo mkuu kama umeona hapo juu.....
 
kuna group 1 la kilimo cha mahindi la uganda lina point sana na lina mbegu zote hizo za dk naona wakizizungumza sana na mazingira yake, zipo kama za aina 3
 
Ndio maana nimesema kuna usimamizi na matunzo mkuu kama umeona hapo juu.....

Sawa sawa, ila mimi huwa naamini suala la kujiajiri ni passion, kukubali changamoto na msoto wa mwanzo ule. Bila hivyo hivyo kujiajiri nadhani ni kugumu sana.
 
Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.

Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.

Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.

Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
Bwana bwana, usiwaambie kuhusu faida asilimia 100, waambie tu ni ajira rahisi.
Kilimo kina faida kweli kweli, hata Mimi msimu uliopita nililima mahindi. Debe tuliuza elfu 13 ambayo ni faida kubwa sana. Maana ukiwa na ardhi tu mahindi yanahitaji mbegu. Lakini ndugu yangu nimelima mahindi msimu huu mpaka Sasa debe ni chini ya buku tano, watu wa Mbeya ( Mbozi ) wana akiba ya mahindi haitoki. Na mahindi ya Mbozi hua yanawateja kweli.
Pia nimelima viazi muda mrefu, msimu uliopita ulikua mbaya Sana kwa biashara ya viazi. Misimu iliopita tulikua tunauza gunia kubwa mpaka 70, mwaka jana tumeuza mpaka 20 ili viazi vitoke shambani.
Ninachokubaliana na wewe no kwamba kilimo ni ajira rahisi, na unapata chakula na hela ya kujikimu. Ila faida ya asilimia 100 ni ya maramoja moja Sana.
Na kitu kingine ni kwamba kilimo ni chepesi, hata upate hasara na mtaji ukatike wote. Msimu unaofuata utarudi tu shambani.
Usiseme kuna faida, kuna shida za kilimo pia.
 
MKUU UMEELEZA UKWELI MCHUNGU, ILA WATAKUJA NA VIKWAZO VINGI HAPA.. MARA KILIMO NI 'RISK', HV KUNA INVESTMENT ISYOKUWA NA RISK? HATA KUAJIRIWA NI RISK, KWA 7BU MWAJIRI AT ANY TIME ANAKUSUSPEND
 
duuh! ama kweli vijana wa bongo tupo na mission town. hata DK hatujui ni mbegu ya nini.
sasa kama sio wakulima je, na tunataka tuanze ukulima we sema dk ni kama kifupi cha doctor inafanya hivi hivi hapo tutakuelewa
 
Mie huwa naona fahari sana mtu akiongea ukweli lakini sio kuja kuongea ujinga ujinga eti "msikimbilie ajira fanyeni kilimo" nadhani labda huwa mnaongelea kilimo cha bangi hicho ndio kinalipa fasta.

Semeni ukweli tu kilimo hata nchi zilizoendelea kinafanywa na matajiri na wala sio watu wa kawaida, unapoongelea kilimo ukasema unalima eka 3 hiyo ni bustani sio kilimo. Mimi ninalima na ninajua kilimo lakini husijekusema kijana unakomalia ajira kwa nini, wengine mara oooh hauna pesa unamilikije iphone x au samsung s8 sidhani kama hiyo inahusiana....

Unapoongelea kilimo kuna vitu hivi la, ima uviweke kichwani na vitahitaji fedha

1. Ardhi
2. Mbilea
3. Maji
4. Usimamizi
5. Mafanyakazi
6. Matunzo
7. Mbegu
8. Madawa
9. Uvunaji
10.uhifadhi wa mazao
11.ushindani wa bei sokoni
12.kuoza au kuharibika

Hiyo ni kwa kilimo cha kizamani, hapo ukisema ulime kisasa kuna kuweka drip irrigation system kwa eka 1 tu unatumia zaidi ya 1,450,000/= haya fanya unalima ekari 5 utatumia bei gani...!!!!

Mie nadhani ni vema tusikichukulie poa kilimo, na tusifananishe kilimo na bustani....atanzania wakulima ni wachache ndio maana masikini wengi wanapatikana huko.

Masoko yenyewe miyeyusho unalima nyanya unakuta bei ni 2000 kwa kile kindoo cha lita 5 si mtu utakufa na mawazo....

Unapokuja kusema uongo eti umewekeza 500,000 baada ya miezi minne ukavuna mahindi ya 3,000,000/= huu ni uwongo mweupeeee pee......ukiambiwa leta cost zote sidhani kama utaweza zaidi ya kujiuma uma.

HABARI,
"digalangosha,
Hongera umeshusha nondo nzito mfano mdogo tu Wakulima wa mahindi serikali ilizuiya kuuza mahindi nje wakatu huo kenya kulikuwa na shida sana ya unga wa mahindi hivi kweli mkulima gani atakaye tajirika kama mtu anatumia pesa yake kulima alfu unakataza kuuza nje wakati ndiko kwenye soko sasa hivi serikali imeruhusu wazambia tayari walisha pitisha mahindi ya kutosha hapa wakapeleka kenya.Leo hii kama uliona video moja ya mzee summry aliyekuwa anamaliki mabasi leo kaenda kulima rukwa anasema ana tani nyingi ziko gharani serikali imezuiya mahindi yasitoke nje.
Mafanikio ya kilimo yako wapi hapo.Kwasababu kama erikali imezuiya ila kujihami na njaa basi wanunue mahindi yote wayaweke kwenye maghara ya taifa ili watu wapate fedh warudi shambani.
Safari ni ndefu bado.

LUMUMBA
 
Ni kweli kabisa ndio maana mie huwa simdharau kijana anayekimbilia kuajiriwa na kukiacha kilimo......kama ni ushauri kuhusu kilimo ntakupa tu lakini kama haujajipanga ntakushauri husije, kilimo sio cha kujaribu bali ni unatakiwa kujitoa......nilikua naongea na clouds tv mwaka jana moja ya challenge niliyowapa mawaziri husika ni huo mfano wako wa kuzuia mahindi kwenda nje wakati huko ndio kuna bei nzuri, wakabaki wanajiumauma kuwa watalifanyia kazi, sasa mtalifanyia kazi wakati watu washapata hasara.......
 
Yani hapo tunazungumia wakulima wa mahindi wa Tanzania wanatakiwa kutajirika kwa kupitia kenya kulisha kenya kwasababu hata kama zambia walipeleka mahindi hayakutosha ilibidi waagize unga toka nje kwa meli sio magari,
Kama kenya wangepata nafasi hiyo kwetu ungewajau wale jamaa wasivyo chezea fulsa.Mimi binafsi kwenye hili la mahindi na hili soko tulilolipoteza kenya nafikiria alafu mbele naona giza.Sasa kama unajihami na njaa huyo mkulima atalima na nini msimu ujao Kama umemzuiya asiuze.
Hapo Serikali ilitakiwa iweke muda wa miezi 2 kipindi cha mavuno inunue chakula kwa kiwango chao walichokiweka kujihami na njaa baada ya hapo wafungue milango.Kuwepo na masoko maalum mipakani kama Pale namanga biashara yote ifanyikie pale Serikali ipate ushuru ila inazuiya wakato mfuko wa mbole unategemea ninunue kwa elfu 75????????????????.

Katika mawaziri mizigo wakilimo nadhani ni mmojawapo mpaka Rais aseme ndio mbole zisafirishwe.
Safari bado ndefu.

LUMUMBA
 
Back
Top Bottom