M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,181 Reaction score 1,594 Apr 12, 2024 #81 Mugabonihela said: Binafsi nilichagua kilimo cha miti, hivi vingine it's more than betting. Click to expand... Umekwisha kutana na balaa la motrooo au bado
Mugabonihela said: Binafsi nilichagua kilimo cha miti, hivi vingine it's more than betting. Click to expand... Umekwisha kutana na balaa la motrooo au bado
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,237 Reaction score 31,811 Apr 12, 2024 #82 2v1 said: Kwangu mimi, natarajia kuanza kulima mpunga mwaka huu 24/25 na ndiyo mala yangu ya kwanza kuingia kwenye kilimo.Sijui nitakutana na changamoto gani huko mbeleni. Click to expand... Kwa hatua ya kwanza usitumie pesa nyingi sana na usilime shamba kubwa kupita kiasi jipe muda wa kujifunza zaidi. Usilime mazao kwa mkumbo ila kwa zao la mpunga umefanya chaguo sahihi
2v1 said: Kwangu mimi, natarajia kuanza kulima mpunga mwaka huu 24/25 na ndiyo mala yangu ya kwanza kuingia kwenye kilimo.Sijui nitakutana na changamoto gani huko mbeleni. Click to expand... Kwa hatua ya kwanza usitumie pesa nyingi sana na usilime shamba kubwa kupita kiasi jipe muda wa kujifunza zaidi. Usilime mazao kwa mkumbo ila kwa zao la mpunga umefanya chaguo sahihi