Kilimo si kwa watu dhaifu

Kilimo si kwa watu dhaifu

Kwangu mimi, natarajia kuanza kulima mpunga mwaka huu 24/25 na ndiyo mala yangu ya kwanza kuingia kwenye kilimo.Sijui nitakutana na changamoto gani huko mbeleni.
Kwa hatua ya kwanza usitumie pesa nyingi sana na usilime shamba kubwa kupita kiasi jipe muda wa kujifunza zaidi.

Usilime mazao kwa mkumbo ila kwa zao la mpunga umefanya chaguo sahihi
 
Back
Top Bottom