Kilimo si kwa watu dhaifu

Kilimo si kwa watu dhaifu

Nimejaribu kufanya kilimo cha mahindi msimu huu wa kilimo and let me tell you something maina, kilimo is not for the weak[emoji1430][emoji1430].

Hamna rangi sija acha ona lakini as they say maji ukisha ya vulia nguo sharti uyaoge so we move [emoji817].
Uko sahihi
Sometimes kilimo ni kamari.....
Sandakalawe...Amina
Mwenye kupata.....apate
Mwenye kukosa.....akose
 
moja ya malengo yangu makubwa ni kuwa na hekari 100 za kahawa, na 100 za kokoa.....kiufupi kilimo ni biashara na kuanguka, kushuka na kuyumba ni vitu vya kawaida, na kama kilimo kingekuwa rahisi kila mtu basi angekuwa MKULIMA..
 
Kaka unalima mahindi unasema kilimo sio kwa wanyonge.

Tafuta mahali ulime tumbaku ata heka mbili tuu..
Na usiombe kuwe na mvua nyingi kama msimu huu.
Pamoja na mkopo wa chama cha ushirika ila cash iliyokatika mpaka muda huu ni mil 8. Na hapo bado tumbaku haijachumwa, haijakaushwa, haujagrade, mabelo n.k.
Hapo sijaweka gharama ya kuandaa mabani. Kwa eka 8-9 mabani makubwa ni kuanzia matatu.

Hakuna kilimo kigumu Tanzania hii kama tumbaku.
Nakubaliana na wewe,nimeshawahi Kufanya Kazi Kampuni za Tumbaku Kwenye vyama vya ushirika vya Wakulima(AMCOS),km Bwana Shamba.Aisee kilimo kile ni balaa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Ushakikatia tamaa mapema kabisa
Nina phobia yakukaa mazingira yenye majani majani,naogopa wadudu,nakua napaniki kila saa na kilimo kinataka uwe front line.

Kule Ruaha mbuyuni kuna wasambaa na wapare walikua wanahamia kabisa kule mpaka wavune ndo wanarudi makwao na wanarudi na faida nzuri ila mi siwezi hayo maisha.
 
Nina phobia yakukaa mazingira yenye majani majani,naogopa wadudu,nakua napaniki kila saa na kilimo kinataka uwe front line.

Kule Ruaha mbuyuni kuna wasambaa na wapare walikua wanahamia kabisa kule mpaka wavune ndo wanarudi makwao na wanarudi na faida nzuri ila mi siwezi hayo maisha.
Majani/nyasi zinakuletea allergies au?
 
Back
Top Bottom