Kilimo, soko na faida za Uyoga

Kilimo, soko na faida za Uyoga

Kwa kweli hiki ni kilimo kizuri sn coz hakihitaji mtaji mkubwa sn na kwa wale wenzangu ambao tunaishi kwenye nyumba za watu unaweza ukaotesha ht uvunguni kwako. Mm niliotesha wa majaribio baada ya kupata mafunzo uliota vzr mno sasa nataka nianze rasmi.
 
Mkuu mafunzo yanapatikana wapi na kwa muda gani? Gharama ya mafunzo ni kiasi gani?
 
Kusema kweli mimi nilijifunzia kwenye semina. Nilijifunza ndani ya siku moja nikaamua kujaribu. Kwani ww upo mkoa gn?
 
Ninaye ndugu yuko Kwa huo uzalishaji arusha zaidi ya 5 years sasa
 
Kusema kweli mimi nilijifunzia kwenye semina. Nilijifunza ndani ya siku moja nikaamua kujaribu. Kwani ww upo mkoa gn?

Nipo Dar, nina hamu sana ya kujifunza na kuendesha kilimo hicho kuanzia mwezi ujao. Kama unaweza kunifundisha kwa vitendo hadi kufuzu na kuwa na uhakika wa kilimo hicho na soko lake tuwasiliane zaidi.
 
Na mm pia nahitaji kujifunza hii kitu nimekuwa nikiifuatilia sana, napenda kujua changamoto zake na pia kujua soko lake lipo kwa kiwango kipi?

ntafurahi nikipata huu ujuzi
 
mbegu inapatikana wapi?mi nataka ya kulima kwenye bustani kwa matumizi ya nyumbani
 
Habari.

Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?

Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.

Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.

Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe

Kwa mawasiliano 0758 308193
 
Last edited:

inaonyesha ni kitu kizuri kujifunza ila soko lake likoje na bei ya jumla ni kiasi gani kwa kilo?
 
Habari.

Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?

Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.

Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.

Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe

Kwa mawasiliano 0758 308193

Tuliongea juzi kati ukaniambia utanitumia mafunzo hayo kwa email kwa ambao wako mbali na moro huko. Nimekutumia ile pesa ya mafunzo leo. Ni shilingi 10,000 si ndio?
 
Kama inalipa sana unataka 60,000 za nini sasa? Kitu kinacholipa it comes by itself hata muda wa kuja jf ungekosa. Mbona mnadanganya watu? Eti semina za ujasiliamali...mfyuuuuu si mfunze ndugu zenu wafaidi. Inakera sana kuona sisi ndio ujariamali wako!
 
Sasa ndugu badala ya kupoteza muda na mambo ya semina, si ungewekeza heka nzima upige hiyo milioni 200 kwa mwezi. Maana hao wafuata mkumbo wa semina unawakamua parefu kinyamaaa
 
naomba kujua, maana kuna aina nyingi za uyoga na wote unatofautiana katika kuulima, sasa sijui nyie mnafundhisha kulima uyoga upi???? na je mbegu mnazouza zina ubora upi???. ntashukuru kama ntapata majibu kwa hayo masuari yangu,
NAPENDA SANA HIKI KILIMO CHA UYOGA HAKINA STRESS SANA KAMA A-Z ZIMEZIBGATIWA
 
Sie tunafundisha kulima uyoga aina ya oyster. Mbegu zetu zimethibitishwa na wataalamu wa chuo kikuu kuwa ni bora. Na tunaziuza kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom