Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hiki ni kilimo kizuri sn coz hakihitaji mtaji mkubwa sn na kwa wale wenzangu ambao tunaishi kwenye nyumba za watu unaweza ukaotesha ht uvunguni kwako. Mm niliotesha wa majaribio baada ya kupata mafunzo uliota vzr mno sasa nataka nianze rasmi.
Mkuu mafunzo yanapatikana wapi na kwa muda gani? Gharama ya mafunzo ni kiasi gani?
Kusema kweli mimi nilijifunzia kwenye semina. Nilijifunza ndani ya siku moja nikaamua kujaribu. Kwani ww upo mkoa gn?
Habari.
Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?
Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.
Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.
Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe
Kwa mawasiliano 0758 308193
Acha kukatisha watu tamaa. Huyo ni shemiji yako. Ww hujui wap alikuwa anakosea.Hicho kilimo ni jipu wakuu. Msihadaike. Kuna shemeji yangu alijaribu akaishia kulia
Habari.
Unafahamu kuwa mushrooms zinaleta faida kwa anayelima? Ktk eneo la 10 x 10 unaweza tengeneza sh mil 14 kwa mwezi mmoja?
Sisi tunafanya hicho kilimo huku Morogoro na tunawafundisha watu wa huku ambao tunawaalika kwenye semina katika shamba letu kwa kiingilio cha sh. 60,000.
Kwa ambao wako mbali na moro tutaandaa semina wakati mwingine.
Kilimo cha kisasa cha mushrooms hakihitaji eneo kubwa na wala mtaji mkubwa. Huhitaji hata kuwa na mfanyakazi ila unaweza fanya mwenyewe
Kwa mawasiliano 0758 308193
naomba kujua, maana kuna aina nyingi za uyoga na wote unatofautiana katika kuulima, sasa sijui nyie mnafundhisha kulima uyoga upi???? na je mbegu mnazouza zina ubora upi???. ntashukuru kama ntapata majibu kwa hayo masuari yangu,
NAPENDA SANA HIKI KILIMO CHA UYOGA HAKINA STRESS SANA KAMA A-Z ZIMEZIBGATIWA