Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo noma sana umenishtukiza mkuuLeo saa mbili
Poa nitajitahidiHahaha kesho saa kumi na moja jioni
Jiandae
[emoji706][emoji706][emoji706]Kilinge cha dj sepetu kitakujia kila wiki mara mbili! Wiki hii kilicho trend zaidi katika social networks kibao bongo ni kuhusiana na mahusiano ya master Wa bongo movie;Ray na chuchuuu hanz!
View attachment 710095
Unajua nini kime happen!
Ni kuwa inaonekana Kila mtu yupo kivyake na maisha yake!
Kwa mujibu Wa shilawadu ni kuwa ray ndo ana mamlaka zaidi kuhusu mtoto!chuchu amemuachia kila kitu ray kuhusu dogo!
View attachment 710096
Je wajua kuwa mamake chuchu ni mzungu!
Ndo hivyo!
Kasheshe ya Leo!
Mvua zazua kasheshe
Sikia hii
Baba:haloo mke wangu ,yaani ni shida sitaweza kurudi nyumbani daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi Dar haiwezekani.
Mama:mume wangu morogoro bila kuniaga!?
Baba:ilikuwa ghafla sana mke wangu sikuweza kukuambia
Mama:kha! sasa watoto nani atawaangalia!
Baba:unasemaje we uko wapi kwani!
Mama:Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi!
Baba:unasemaje we mwanamke!! Nasema nikukute nyumbani ndani ya dakika 15!
Baada ya dakika 15 nyumbani
Mama:haya umefikaje kutoka morogoro
Baba:nimepewa lift na helicopter ya mbowe!