Kilinge cha DJ sepetu!

Kilinge cha DJ sepetu!

Kuna msera mmoja hivi alikuwa anapita mitaa ya uzunguni kwa wajua akaona bongo la mdada
Kamuomba namba ya simu mdada akachukua note ya elfu kumi akaandika namba na kumpa!

Msera akachukua ile hela akaikata ile sehemu yenye namba na kumrudishia hela yake!

Nani kauzu zaidi!
 
Kilinge cha dj sepetu kitakujia kila wiki mara mbili! Wiki hii kilicho trend zaidi katika social networks kibao bongo ni kuhusiana na mahusiano ya master Wa bongo movie;Ray na chuchuuu hanz!
View attachment 710095

Unajua nini kime happen!
Ni kuwa inaonekana Kila mtu yupo kivyake na maisha yake!

Kwa mujibu Wa shilawadu ni kuwa ray ndo ana mamlaka zaidi kuhusu mtoto!chuchu amemuachia kila kitu ray kuhusu dogo!
View attachment 710096
Je wajua kuwa mamake chuchu ni mzungu!
Ndo hivyo!

Kasheshe ya Leo!
Mvua zazua kasheshe
Sikia hii
Baba:haloo mke wangu ,yaani ni shida sitaweza kurudi nyumbani daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi Dar haiwezekani.

Mama:mume wangu morogoro bila kuniaga!?

Baba:ilikuwa ghafla sana mke wangu sikuweza kukuambia

Mama:kha! sasa watoto nani atawaangalia!

Baba:unasemaje we uko wapi kwani!

Mama:Niko bagamoyo na daraja limeondolewa na maji sitaweza kurudi!

Baba:unasemaje we mwanamke!! Nasema nikukute nyumbani ndani ya dakika 15!

Baada ya dakika 15 nyumbani

Mama:haya umefikaje kutoka morogoro

Baba:nimepewa lift na helicopter ya mbowe!
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
IMG_20180311_091442_971.jpg
 
Back
Top Bottom