Kilio cha msanii Wastara: Bongo movie mnatia aibu

Huyu dada haumwi serious wala nn. Sema shida yake kubwa kachoka anahitaji hela alizoingia mkataba na wachina wa simu alipwe sababu anaona kaibiwa. Sasa ili kujenga hoja akaona ajazie na mada ya kuumwa ili aweke mkazo. Muhimbili kwa ugonjwa anaoumwa tiba imeshapatikana. Operation aliyofanyiwa inamuhitaji alale masaa maalum aliyopewa na Dr. Sasa yy akitaka kudanga ajue lazima mgongo umuume tu,
 
Huyu Dada kama kuna mtu alimroga NAMUOMBA AMSAMEHE kashajifunza, huwa anateseka sana, mwenye uwezo AMSAIDIE
 
Arudi kwa sadifa kiroo safi, siku zote mbio za sakafuni zinaishia ukingon
 
Sasa yeye anajijua ana mguu mbovu halafu anapenda kutomboka na vijana wadogo wanapenda kuunyanyua mguu hadi shingoni au kudandia dirisha ,hivi hapo mguu utapona vunjika?
 
AMINI KUNA WAHITAJI WAKUBWA WA MSAADA , LAKINI SIO HUYU
 
Maskini Wastara yeye haishiwi matatzo amrudie mungu yeye ni mtoto wa kiislam na mungu atamsamehe over
 
Wakati anachuna waume za watu pesa zao mbona hakutoa waraka watu waje kula pesa zake
 
Kwani hakutunza pesa aliyokuwa anapata kwenye uigizaji wake??

Wakiwa wanaigiza hujiona wamemaliza ulimwengu, hata ukikutana naye ukamsalimu kama ana mwenzake utasikia akimwambia "ananishobokea huyo"
 
Shezea mdonge weye?
Katika tiba yake akumbuke na kuomba " msamaha "..tena wa ngingo hasa!
Au atacheza kinyantindinya..unyago wa nyani kibwebwe mkia!
 
Washanza kumpigia promo ya mchango,Huyu dada anaongoza Kwa kuchangiwa Itakuwa style hiyo ya kujipatia kipato

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…