Walipo kuwa wanavamia majimbo ya watu na kujigamba kwamba wanakwenda kuchukua mjii mkuu waliona sawa Sasa Mambo yamekwenda kombo wanataka huruma ya kitaifa ,waziri mkuu hakikisha una maliza kabisa ujinga wa kundi fulani katika nchi kujiona bora kuliko wengine