Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu cha kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko Tigray, Kaskazini mwa Ethiopia.
Hali ya vita inasemekana kusababisha vifo, njaa na hata miundombinu msingi kama umeme, barabara na majengo.
Kwa hali inayoripotiwa na viongozi wa Tigray, Jamii ya Kimataifa haijachukua hatua za kutosha kumaliza tatizo.
Watigray wanalalamika kubaguliwa, kuonewa na kutengwa na utawala wa Ethiopia kwa sababu ya asili yao.
Wanalituhumu Taifa la Eritrea kuungana na Ethiopia dhidi ya Tigray.