mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,603
- 4,190
Hakika. 🤣 🤣 🤣Hyo ni rushwa Kama zilivyo rushwa zingine
Na hii ikipita imepita haitakaa hiongezwa
ata sent na mjiandae kwa makato makubwa.
Nasikia zitawahusu walimu waliojitolea mashuleni...[emoji848][emoji848][emoji848]Kile Kilio Cha Ajira kwa Walimu Na Wapinzani kutaka kufanya Ajenda kubwa Kwenye Uchaguzi Huu Wa Mwaka Huu kinaenda Kuisha Mwezi huu .Mkajipange Tena Sijui Mje na Sera Gani Tena.Ajira za Walimu Kutolewa Mwezi Huu.Raha ya CCM,Raha ya Magufuli Ana ahidi na Kutelekeza.Na Ikumbukwe hii Ni Ahadi Yake aliyoitoa Kwenye Mkutano wa Mkuu wa CWT Dodoma Wakati CWT wanafanya Uchaguzi Wao.
Hongera Sana Serikali ya Awamu ya Tano.
JPM Mitano Tena.
Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tuTundu Lissu atakuja kuajiri,walishateseka sana uraiani.
Acha Kuandika uongo MkuuHyo ni rushwa Kama zilivyo rushwa zingine
Na hii ikipita imepita haitakaa hiongezwa
ata sent na mjiandae kwa makato makubwa.
Nasikia zitawahusu walimu waliojitolea mashuleni...[emoji848][emoji848][emoji848]
Hili eneo lina kilio kikuu kwa Magufuli. Watoto wa maskini tangu 2015 walipohitimu vyuo wamekaa bila ajira!!
Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Kusingekuwa na uchaguzi maana yake ajira zisingekuwepo sio?Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tu
Ile mifumo haifunguki,na si wanachuo wengi wenye access ya kuingia mle.Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tu
Hapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.Kusingekuwa na uchaguzi maana yake ajira zisingekuwepo sio?