Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
watanzania siyo wajinga
Nikweli mkuu japo kuna baadhi ya minyumbu inatuangusha
watanzania siyo wajinga
Sio ushabiki.Punguza ushabiki sana ata CDM waingie ikulu walimu hawatoajiliwa wote waishe mtaani maana mnakaribia laki 1 mtaani saivi, sema wapunguze walio kaa mtaani sana kuanzia 2014 hadi 2016
Unanionea@Shombe la Kisomali.Ila hii utajionea muda si mrefuuHv mazaga one uongouongo utaacha lini..?
Naona umekimbia Uzi wako ule umeamua uunde mwngine uendekee kudanganya raia
Taarifa njema moja ya Mambo mazuri ya JPM Ni kuahidi na kutekeleza.Hii ni taarifa au kichambo!
haswaa mimi nimemaliza 2015 ina maana ningejitolea hadi leo hii? Na nina familia, hata wakitoa ajira leo kura yangu hawaipati kamwe. Nimeshateseka sana na wazaz wangu wote wanaumwa hata pesa ya dawa sinaHill litakuwa kosa ambalo watalifanya kwa Mara nyingine MTU huna ajira aache kutafuta riziki sehem nyingine akajitolee bure kwa maisha ya sasa yalivyo nawashauri wasifanye hivyo maana wataongeza hasira na chuki.
Hongo hiyo.Ajira atoe kura hapati.Waalimu washamshtukia kitambo.Hawezi kuajiri wote tangu 2015 hakuna mwalimu wa Sana'a aliye ajiliwa na huku ndio kuna kundi kubwa yetu macho ngoja tusubili watu wanateseka sana
Kumbe fani zote wengi wao walishaajiriwa isipokuwa walimu pekee??Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Rushwa nene kabisaHakika. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
haswaa inaumaSio rahisi akaajiri walimu wa arts. Sana sana science dah inauma kweli, nilijinyima sana kumlipia Dogo na hapo na mm nasoma,dah yetu macho
tena hana akil kbsaAtaajiri walimu laki ngapi?
Ikumbukwe kuwa tangu 2015 mpaka leo 5 batches out.
Na kama mtu umesoteshwa kwa miaka 3'4'5 leo anakuajiri ukimsifia basi huna akili.
Binafsi ni mtumishi wa umma, ofisi yetu yenye watumishi zaidi ya 50, kura za Magufuli hazitazidi 5 kutoka kazini kwetu.
Ndio maana watu kama nyie mkipost matapushi yenu nayakemea hayo mapepo ya ujinga na upumbavu yaliyowashikia.
Ajira ni haki ya msingi ya kijana yeyote.
Sasa CCM wanajifanya kuigeuza kuwa ajenda ya kuwalubuni wapumbavu na wajinga
Uchaguzi huoooooooooooooooooooHabari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Hawezi kukuelewa hana akili ni matagaHawezi kuajiri wote tangu 2015 hakuna mwalimu wa Sana'a aliye ajiliwa na huku ndio kuna kundi kubwa yetu macho ngoja tusubili watu wanateseka sana
Kwani ajira ni walimu tuu?? Je uataweza kuajiri since 2015??? Hivi mataga mnatumia kiungo gani kufikiri???Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Bwn Yule anaenjoy sana kuona watu ni majobless ili akipita kwny msafara wake wamsimamishe barabarani aanze kuwagawia maburungutu yake huku akiwasimanga.Ataajiri walimu laki ngapi?
Ikumbukwe kuwa tangu 2015 mpaka leo 5 batches out.
Na kama mtu umesoteshwa kwa miaka 3'4'5 leo anakuajiri ukimsifia basi huna akili.
Binafsi ni mtumishi wa umma, ofisi yetu yenye watumishi zaidi ya 50, kura za Magufuli hazitazidi 5 kutoka kazini kwetu.
Ndio maana watu kama nyie mkipost matapushi yenu nayakemea hayo mapepo ya ujinga na upumbavu yaliyowashikia.
Ajira ni haki ya msingi ya kijana yeyote.
Sasa CCM wanajifanya kuigeuza kuwa ajenda ya kuwalubuni wapumbavu na wajinga
Ataajiri wangapi??? Je wasio na ajira ni walimu tuuu!?? Je fani nyingine!???na hata hao walimu atachukua mwaka gani???? 2015 au 2016 au 2017 au 2018 au 2019 au 2020 au wale waliokua benchi 2015 kurudi nyuma!??Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tu