Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

Hapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.
Sasa naanza kuamini humu mitandaoni watu huwa mnakurupukia Mambo bila utafiti.
Uwanja wa jamuhuri Dodoma mkulu aliongea nini mkuu? Na huko moshi mkuu aliongea nini?
 
ajira tutaramba,
kura zote kwa lisu.
kwanza hii ni rushwa.
ovyo sana.
kuajiri kwenyewe hawez kutoa kwa wote
 
Awamu ya 5 inajulikkana kuajiri sio kipaumbele chao kwahyo mwaka huu wananchi lazima tumuajiri TUNDU LISSU kuwa Raisi wetu wa Jamhuri
 
Unaajiri walimu 2000 afu unasema umeajiri vijijin walimu hakuna ye aajili akitaka ila so kigezo cha kuombea kula kwanza anauhakika atapita sasa anajihangaisha nini
 
Wamesema wanaajiri walimu 12,000 hii ni dharau kama dharau zingne, idadi yao ni sawa na wahitimu wa chuo kimoja tu , mfano UDSM since 2015.

Wahitimu laki 5 wapo mtaani afu wewe unatangaza ajira 12,000? Upuuzi huu

Graduates ukibahatika kuajiriwa au usipoajiriwa usimpe kura CCM, ukifanya vile ni matumizi mabaya ya akili yako.
 
Ahahaaaa mkisusa wanazigeuza kuajiri polisi.
 
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
na mishahara aongeze
 
Rushwa hiyo au danganya toto. Uchaguzi ni lini vile?
 
Hapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.
Sasa naanza kuamini humu mitandaoni watu huwa mnakurupukia Mambo bila utafiti.
Na sili za waziri mkuu ziliishia hewani
 
Mtoa Mada mbona kama povu hivi??
Hujui kama walimu wameambiwa wakajitolee, Je ajira zinahitajika Ualimu tu, Ni miaka Mingapi imepita Bila Ajira za kueleweka hali ya kuwa uhitaji ni mkubwa Maeneo yote!
Hilo tangazo la kujitolea ni official toka kwa jiwe? au wewe MATAGA
 
Yani tuna rais wa ajabu haijawahi tokea kaona uchaguzi anaona uchaguzi anatoa ajira mbona nyuma huko alisema wacha vyuma vivunjike ngoja mpewe rushwa hyo mmpitishe tena mtajuta...nondo za TL zinamfanya anaweweseka

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
aliwekeza mda mwingi kupambana na Mbowe kuliko shida za watz akidhani 5 yrs ni miaka 50 hamadi uchaguzi huu hapa sasa anatapatapa kuwaridhisha watz mara ajira mara kulipa wkulima wa korosho mara sijui nn ili wapinzani wakose hoja,mambo ni mengi mda ni mchache kutaka kunenepesha ngombe siku ya mnada,mara kutoa rushwa makanisani kuhonga viongozi wa dini,janja janja zote hizi hazisaidii watz wa leo sio wa jana wa kuwadanganya na vipande vya nguru.Uzuri wanakijua kikombe kwa ndani kwamba zote hizi ni kunenepesha ngombe,watu wameze ndoana.YE ALISOMESHA WATU NAMBA AKUBALI KUISOMA RECIPROCAL HII NI KANUNI.

AJIRA,MASLAI,TUNACHUKUA LAKINI KURA ZETU APATI.HARI YA WENGI KUPIGA KURA IMEONGEZEKA BAADA YA UJIO A LISU
 
Hizo ajira baada ya uchaguzi kama watu watakosea tena watarudishwa nyumbani kusubiria uhakiki.
kama ameweza watosa wahunga juhudi atashindwa vipi watosa waajiriwa wapya.
VYOOOTE MKIPEWA CHUKUENI ILA KURA KWA LISU
 
Hii serikali nilazima ipigwe chini october 28, kelele na promo nyingi ilihali katika uhalsia hakuna walichofanya, kweli ajira 12,000 ndani ya miaka 5? Watanzania kataeni kutumika.
 
Nitamshangaa kijana mwrnzangu atayeenda kumpa kura huu mzee..

2020 twendeni na Lissu
 
Kwanza ho sio ajira,
hii serikali ingelikuwa ni serikali ya kyajiri na imedhamiria kweli kutokana na ukame wa ajira miaka yote hii basi at least tungesikia ajira 100,000+ Ila huu ni upuuzi tu.

Vijana wenzangu 2020 twendeni na Lissu
Hii serikali nilazima ipigwe chini october 28, kelele na promo nyingi ilihali katika uhalsia hakuna walichofanya, kweli ajira 12,000 ndani ya miaka 5? Watanzania kataeni kutumika.
 
Kwanza ho sio ajira,
hii serikali ingelikuwa ni serikali ya kyajiri na imedhamiria kweli kutokana na ukame wa ajira miaka yote hii basi at least tungesikia ajira 100,000+ Ila huu ni upuuzi tu.

Vijana wenzangu 2020 twendeni na Lissu
Tunaenda na Magufuli mitano Tena.
 
Back
Top Bottom