Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Wakati huo madaraja yameshushwa kutoka TGTS I had I TGTS H mwisho.
 
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Hatudanganyiki na huo upuuzi.

Mtu kupata ajira serikalini kama ana sifa zote zinazotakiwa ni haki yake wala sio hisani ya ccm.
 
Daraja I sasa hivi hakuna mwisho H tu, lengo in kupunguza pension za wavuja jasho
Na hapo ndipo unashangazwa sasa, yeye analipwa mamilioni,watoto wake anasomeshewa,Mali anazo nyingi,pensheni ya mabilioni atapata sasa hivi vipensheni vya watumishi maskini vinamuumiza nini yeye?
 
Huyu atakuwa mwalimu tu. Anaesubiri Ajira
 
Hv mazaga one uongouongo utaacha lini..?
Naona umekimbia Uzi wako ule umeamua uunde mwngine uendekee kudanganya raia
Shombe la Kisomali Soma hii

*🗣️ GOOD NEWS: TAMISEMI WALIMU 12,000 KUAJIRIWA*

● Walimu Wa Shule Ya Msingi
● Walimu Wa Sekondari

*Bofya Hii Link Kusoma Zaidi*
👇👇👇👇👇👇👇
TAMISEMI New 12,000 TEACHERS Jobs AJIRA ZA WALIMU 2020 for Primary and Secondary Government Schools 2020

*Sharing is caring*

🙏🙏🙏🙏

Mimi Sikudanganyi Mkuu.Vyanzo vyangu vya Taarifa vya Kuaminika
 
Wanao ajiriwa hapo ni walimu wa Maths na Physics wengine ni bahati nasibu itakapo angukia.
Duuh!
Waaliu wa Biology, na Chemistry hawatakiwi?
Naona hao ni muhimu sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda.
 
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Mbona mnachanganyikiwa mapema kiasi hiki?
 
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Milioni 50 kila kijiji zinakuja lini?
 
Akili n nywele ...
Mpumbavu ni mpumbavu tu..yani unakuja na huu upumbavu kama hoja ?
Walimu wanaojiriwa ni wale waliokuwa wanajitolea tena shule za serikali .
Unafurahia RUSHWA kama nia ya kuwajiri ilikuwepo kwa nini awaajiri kuelkea uchaguz ilihali walimu huwa wanaajiriwa mwez wa 2 au mwez wa 7..hiyo n daganya toto tena ya kipumbavu sana.
 
Back
Top Bottom