Kilio cha wanawake wengi kuhusu uwezo wa wanaume kutiwaridhisha kimapenzi ni athari za kufanya ngono na jini

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo.

Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya kuokoka,alikiri kuwa watu wengi wanaokwenda kwa waganga wa jadi kununua dawa za nguvu za kiume,hupewa jini ambalo hugeuka kuwa uume,na mtu anapomwingilia mwanamke,hupata raha ambayo ni vigumu kwa mwanaume wa kawaida kumpatia mwanamke.

Siku hizi watu wenye pesa wasio na hofu ya Mungu wananunua dawa hizo na wanakuwa malaya kwa kuwa wanazo pesa za kuhonga na wanapendwa na wanawake wengi.

Tatizo linakuja pale wanawake wenye tamaa waliowahi kukutana na watu wa jinsi hii,ambao mara nyingi huwa hawawaoi,wakiachika,hawapati kirahisi watu sahihi kwa mujibu wao kwa vile walishakutana na uume ambao ni jini.

Matokeo yake wanaamua kuwa malaya wakijaribu kutafuta mtu anayeweza kuwa na uwezo kama wa mwanaume waliyewahi kuwa naye.

Wengi wanalia wanaume wa sasa wana vibamia kwa sababu ya uzoefu wa kukutana na mtu mwenye uume -jini.

Makampuni ya waabudu shetani yanateneza vifaa vya ngono ili kuzidi kuwapa uraibu waliwahi kuingia katika mfumo huo.

Dunia ni ngumu na shetani amevuruga mambo mengi sana,na dada na watoto wetu wapo mitandaoni kumsaidia kazi zake.Mwanamke wa sasa ni msaidizi wa shetani zaidi kuliko kuwa msaidizi wa mume.
Mwanamke akiwa upande wa shetani,mwanaume anakuwa shetani pia
 
Tafuta kwa kufanana nawe:-

1.Kama wewe aliKIBA basi tafuta Suez canal na wala si AMBONI
2.kama wewe Mandingo tafuta Bwawa la mtera
3.Kama wewe Tako 3 ,One Min' Man basi tafuta wa Ukigusa IMOOOOO
4.Kama wewe OLD Trafford dakika 90 tafuta wa marathon wenzako.

Tatizo sisi wanaume tunavamia tu MADEGE ya jeshi bila kuyajua vizuri.
 
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliyejulikana kama pawa mabula,mtu aliyeganya maonesho ya nguvu zake miaka ya nyuma zilizokuwa mithili ya nguvu za Samsoni wa kwenye biblia,ni kwamba yeye binafsi alitumia majini 100 kumsaidia kufanya yote hayo.

Akihojiwa wakati fulani wa uhai wake,baada ya kuokoka,alikiri kuwa watu wengi wanaokwenda kwa waganga wa jadi kununua dawa za nguvu za kiume,hupewa jini ambalo hugeuka kuwa uume,na mtu anapomwingilia mwanamke,hupata raha ambayo ni vigumu kwa mwanaume wa kawaida kumpatia mwanamke.

Siku hizi watu wenye pesa wasio na hofu ya Mungu wananunua dawa hizo na wanakuwa malaya kwa kuwa wanazo pesa za kuhonga na wanapendwa na wanawake wengi.

Tatizo linakuja pale wanawake wenye tamaa waliowahi kukutana na watu wa jinsi hii,ambao mara nyingi huwa hawawaoi,wakiachika,hawapati kirahisi watu sahihi kwa mujibu wao kwa vile walishakutana na uume ambao ni jini.

Matokeo yake wanaamua kuwa malaya wakijaribu kutafuta mtu anayeweza kuwa na uwezo kama wa mwanaume waliyewahi kuwa naye.

Wengi wanalia wanaume wa sasa wana vibamia kwa sababu ya uzoefu wa kukutana na mtu mwenye uume -jini.

Makampuni ya waabudu shetani yanateneza vifaa vya ngono ili kuzidi kuwapa uraibu waliwahi kuingia katika mfumo huo.

Dunia ni ngumu na shetani amevuruga mambo mengi sana,na dada na watoto wetu wapo mitandaoni kumsaidia kazi zake.Mwanamke wa sasa ni msaidizi wa shetani zaidi kuliko kuwa msaidizi wa mume.
Mwanamke akiwa upande wa shetani,mwanaume anakuwa shetani pia
Hakika
 
Pawa mabula niliwahi kuhudhuria mojawapo ya maonesho yake pale Shule ya Sekondari Sengerema. Baada ya maonesho; kwa hiari yake mwenyewe alitoa fursa ya sisi wanafunzi kumwuliza maswali. Kati ya maswali mengi aliyoulizwa, mojawapo lilihusu chanzo cha nguvu zake kwa kuzingatia aliweza kuizuia gari -Land Rover isiondoke kwa kutumia nywele zake.
Katika jibu la swali hilo Alitamka kwa kinywa chake mwenyewe kwamba chanzo cha nguvu zake ni vyakula anavyokula.
Sasa tumwamini nani - Mtoa taarifa au Mabula mwenyewe? au tuseme Pawa Mabula alitudanganya?
 
Asante sana Cashman kwa kuleta mada hii nzito na yenye mawazo mengi. Kweli, dunia ya sasa ina changamoto nyingi sana, na mahusiano yamekuwa magumu kwa namna mbalimbali.

Ni kweli kuna kilio cha wanawake wengi kuhusu kuridhishwa kimapenzi, na nadhani kuna mambo mengi yanayochangia hili, kama ulivyoeleza. Pamoja na hayo, naamini pia kuna changamoto za matarajio yasiyo halisi yanayojengwa na jamii au hata mitandao ya kijamii, ukosefu wa mawasiliano sahihi kati ya wapenzi, na kutojali hisia na mahitaji ya mwenza.

Ni muhimu sana kwetu sote kujitahidi kujenga mahusiano yenye upendo wa kweli, heshima, uaminifu na mawasiliano ya wazi. Kuridhishana kimapenzi ni sehemu muhimu ya ndoa, lakini pia kuna mambo mengine mengi yanayojenga furaha ya kweli katika mahusiano. Tujiwekee malengo ya kujenga familia na jamii yenye maadili mema na uelewa wa kweli, ili kila mmoja apate amani na furaha anayoistahili. Tusiache kukata tamaa katika kutafuta na kujenga mahusiano bora.
 
Back
Top Bottom