Ndugai anaweza kutumbuliwa kupitia njia tofauti na zile za kuwatumbua wateuliwa. Ndugai akionekana ana kosa, anaweza kutumbuliwa kupitia vikao vya chama chake, kwa kuwatumia wabunge, japo kwa sasa, hilo inaonekana ni vigumu kutokea.Ndo ujue JF Ina mabata wengi.Anasubiri SSH amtumbue Ndugai.
Yani tena mlogaji asichelewe jamani,AFE tu kama mwenzake.Atarogwa tu kama mwendazake
Tena Mungu atende tuKwakuwa Rais hana mamlaka ya kumtengua huyo rectified psycho na kwakuwa bunge limejaa matakataka ya ccm basi huyu tunamuombea Mungu tu atajua chakufanya.
Umefoka sana lakini nina hakika akiki yako itakuwa ni kisoda. Spika anaweza kuondolewa japo siyo kwa namna ile ambayo wateule wa Rais huondolewa.Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Kuna mhimili Tanzania hii kwa Rais wa nchi ?!. HaupoHujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Mwenyekiti/Rais kutoka ccm yenye wabunge 95% akitaka wabunge wake wamtoe spika ni asubuhi tuu anaondokaKwakuwa Rais hana mamlaka ya kumtengua huyo rectified psycho na kwakuwa bunge limejaa matakataka ya ccm basi huyu tunamuombea Mungu tu atajua chakufanya.
Mungu ndie atafanya waka sio SamiaNdo ujue JF Ina mabata wengi.Anasubiri SSH amtumbue Ndugai.
Sasa kwa taarifa yako chama kinampasuko mkubwa mno, zipo Timu zaidi ya tatu bambazo zote hazipo upande wa mama, usifikiri zile 100%alizo pata kupitishwa uenyekiti niza kweli, Speaker ana timu yake kubwa tu, kina Nape wana ka timu zao, lakini pia Polepole na Bashiri pia Wana timu yao,kwa Rais kumtoa Speaker ningumu sana kuliko unavyo dhani we,Ndugai anaweza kutumbuliwa kupitia njia tofauti na zile za kuwatumbua wateuliwa. Ndugai akionekana ana kosa, anaweza kutumbuliwa kupitia vikao vya chama chake, kwa kuwatumia wabunge, japo kwa sasa, hilo inaonekana ni vigumu kutokea.
Umepata kichaka unakunyaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Akiwatishia kuvunja bunge watafyata mkia wote. Hakuna anayetaka uchaguzi lati yao.Power ipo kwenye kuwavua uanachama tu wabunge waliopo mjengoni kama watakaza kupiga kura ya kutokuwa na imani na speaker
Yeye SSH anataka uchaguzi, Rais pekee Tz ambaye hajawahi pigiwa kura, wewe unaona SSH akiitisha uchaguzi akishinda?Akiwatishia kuvunja bunge watafyata mkia wote. Hakuna anayetaka uchaguzi lati yao.
Watu wanashindwa kujua kuwa Spika ni dekio la serikali.Spika anaingiliwa sana tu
Kura ya kutokuwa na imani nayo kama sijakoseaKwani spika hadi atenguliwe inapigwa kura au anatumbuliwa tuu kwa amri ya Rais.
Sory mimi sio mwanasiasa wala sheria sikupitia ndio maana nauliza
Ahaa wabunge ndio wanapiga?Kura ya kutokuwa na imani nayo kama sijakosea
Wasipokosa Imani?Rais anaweza kumtoa spika mara moja, tena smoothly. Yeye Kama mwenyekiti wa CCM, ni kutaka tu wabunge wake wakose Imani na Ndugai bhasii
Unajua Spika anatoka chama gani cha siasa?Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Wabongo unadhani wanajielewa basi ni full maujinga......Ule si muhimili mwingine....