Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.

Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Naona mumepoteana ujinga umewajaa sasa hata hamuelewi spika huwa anapatikanaje mnadhani huwa anateuliwa na Raisi!!! Yule huchaguliwa na wabunge mhiomili unaojitegemea!!

CHADEMA ACHENI UJINGA ITISHENI KIKAO CHA BARAZA KUU LIMALIZE HUO MGOGORO NDILO LENYE KAULI YA MWISHO SIO SPIKA WALA RAISI WALA MAHAKAMA
MBONA MNAKIUKA TARATIBU ZA CHAMA CHENU?
 
Ndugai sio siku kuhesabika. zimeishakamilika.
Sio rahisi kihivyo ni bunge pekee lenye uwezo wa kumuondoa Spika sio Raisi wala mahakama,nI BUNGE lenyewe kupiga kura za kutokuwa na imani naye
 
Akili yako fupi mno....
kwa hiyo akiwa Mwenyekiti unadhani raisi ana automatic right ya kumuondoa spika!!!?
Iwe kwa njia yoyote anamwondoa kwasababu yeye ndiye boss kwenye chama chao,atamwondoa kwa nguvu ya uenyekiti wa chama na sio urais.
 
Sio rahisi kihivyo ni bunge pekee lenye uwezo wa kumuondoa Spika sio Raisi wala mahakama,nI BUNGE lenyewe kupiga kura za kutokuwa na imani naye
Chama chake chini ya mwenyekiti wake kisipokuwa na imani naye je ataendelea kuwa Sabufa?
 
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.

Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote

Mlishaambiwa vitu vya kupeleka na hampeleki nyie kila siku mnashinda kwenye mitandao tu mnapiga makelele
 
Wabongo unadhani wanajielewa basi ni full maujinga......
hawajui raisi hana mamlaka juu ya spika...
Wanajifariji kijinga!!!

CHADEMA short cut ipo kuitisha Baraza kuu la CHADEMA liamue hatima ya hao wabunge kama katiba yao inavyotaka lakini hawataki !!!! Wanaogopa nini? WANAKIMBILIA ohh Raisi AFANYE MAAMUZZI OHH spika AFANYE Maamuzi !!! Baraza kuu ndilo linatakiwa Kufanya maamuzi full stop
 
Rais anaweza kumtoa spika mara moja, tena smoothly. Yeye Kama mwenyekiti wa CCM, ni kutaka tu wabunge wake wakose Imani na Ndugai bhasii

Unaona ni kitu easy sana eeeh, kama ilivyo kumtuma mtoto wako maji ya kunywa
 
Kwani anashindwa nini? Akinyofoa tu kadi ya chama Faru John kwishney habari yake.
Kwa sababu ya hao covid-19?Hiyo sinema ilichezwa na CCM kwa hiyo SSH hawezi mpokonya Kadi.Kikubwa ni Albadir tu,Kama ile ya wapemba wakati wa uchaguzi ilivyokwenda na Mwendazake.
 
Waliochanganyikiwa zaidi misukule wa marehemu
CHADEMA wamechanyikiwa WANATWANGANA VITA wao kwa wao BAWACHA na AKINA MDEE ukiwaambia itisheni baraza kuu limalize ugomvi hawataki!!! wanabaki kulilia CCM iwasaidie Mama SAMIA WA CCM na NDUGAI WA CCM wawasaidie!!!!! kitu ambacho wao wenyewe wanatakiwa wakimalize kupitia baraza kuu.Wanaliia CCM IWASAIDIE!!!!!
 
Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
hujui chochote na bado unashupaza shingo, hujui sita alivotolewa kwa sekunde
 
Hujui mihimili inafanya vipi kazi, Spika haingiliwi, bado huelewi, hivi nyie watu akili zenu shule mlisoma wapi? Unamlinganisha level ya Spika na DC? Kweli? Ndio maana Chadema imejaa mazezeta wengi sana, Hivi unamjua Spika vizuri na ni mhimili gani?
Spika huyu aliyeambiwa awabane wapinzani wakiwa ndani ya Bunge na wakitoka nje mwenda zake anapiga risasi na yeye akawa anafanya kweli leo hii haingiliwi Mwaisa? Ngoja nikusaie kidogo.

1. Rais ana uwezo wa kuwaelekeza wabunge wa chama chake akiwa kama mwenyekiti wa chama kumpigia spika kura ya kutokuwa na imani naye kwa kuvunja Katiba na atakuwa amekwisha.

2. Rais kama mwenyekiti wa chama ana uwezo wa kumfukuza Ndugai uanachama na kazi ikawa imekwisha
 
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.

Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Utasubiri sana. Katiba ya Tz haina mlinzi.
 
SSH hana akili wala guts za kumsogelea Ndugai, na akijaribu anaweza idodosha serikali yake mwenyewe, hamna mtu yoyote mwenye akili timamu anamuamini SSH, wanaheshimu tu katiba yao amelize muda wake wenye akili timamu wachukue nchi.
Yupo mpaka 2030 itunze hii comment
 
Back
Top Bottom