Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio wote humu JF ni Chadema, sote tunajaribu kupanuana mawazo na kupata elimu katika mambo yenye mashaka mashaka. Hivyo mwana JF anapotoa mawazo yake against yako usimchukulie ni wa Chama fulani, haipendezi.Simamieni katiba ya CHADEMA bila shuruti itisheni kikao cha Baraza kuu la CHADEMA kama katiba yenu inavyotaka.Msikimbilie ya katiba ya nchi wakati yenu ya katiba yenu yanawashinda.Itisheni kikao cha baraza kuu acheni porojo
Kama unategemea sasha amfute kazi ndugai basi unaweza amini kila uongo dhidi ya sabaya. Kwa kukuelimisha spika wa bunge hawezi kufutwa kazi na rais.Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Kwa vile wewe na familia yako mnafaidika akiwa pale.
Ujeuri na kiburi chake, sisi tunamwachia Mungu amtwae mapema ....Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Mungu atatujibia tu na kwake soon. Sisi ni kuzidisha dua tu [emoji120].
Kama kweli wanaomba msaada kwa Ndugai na Samia kama wanaCCM na sio spika na rais basi watakuwa wamechanganyikiwa sana,kinyume chake utakuwa umechanganyikiwa wewe pamoja na wafuasi wa marehemuCHADEMA wamechanyikiwa WANATWANGANA VITA wao kwa wao BAWACHA na AKINA MDEE ukiwaambia itisheni baraza kuu limalize ugomvi hawataki!!! wanabaki kulilia CCM iwasaidie Mama SAMIA WA CCM na NDUGAI WA CCM wawasaidie!!!!! kitu ambacho wao wenyewe wanatakiwa wakimalize kupitia baraza kuu.Wanaliia CCM IWASAIDIE!!!!!
Thubutuuu! Yaani yule kutoka pale labda APENDWE ZAIDINdugai atajiuzulu kama Lowassa!
Haya Kagaigai amelambwa!! MATAGA mtaisoma number Sasa!Wakose kwa kulazimishwa?, idiot!
Tumemla kichwa katibu wake, mdogo mdogo mpaka killers MATAGA muokoke
Mwendazake alikuwa anaingilia muhimili wa loud speaker!!??
Mh. Rais SSH ni mwenyekiti wa CCM.
Unajua maana yake wewe mjane!!??
Tunapambana ila yeye ni sehemu ya kikwazo kutoboa.Sasa huo ni wivu tu
Na dawa yake ni na ww kupambana
Kigai gai yupo wapi??? Big up mzee jeneral ulimwenguTangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Badili jinsia basi ili wale 19 wakifukuzwa uingie wwTunapambana ila yeye ni sehemu ya kikwazo kutoboa.
Kwanza kawekewa katibu mpya,maandishi yapo ukutaniTangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana in makubwa kuliko ya Sabaya.
Siku vyama vya upinzani wakikutana na mwenyekiti wa CCM na Rais wetu ,spika Ndugai aombe mchakato wa kupata wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA haukuwa na dosari yoyote