Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

Ndugai ni machukizo kwa ustawi wa taifa itafaa akiwa muted 4 ever ni spishi ya mwendazake inayotumia nguvu bila akili
 
Simamieni katiba ya CHADEMA bila shuruti itisheni kikao cha Baraza kuu la CHADEMA kama katiba yenu inavyotaka.Msikimbilie ya katiba ya nchi wakati yenu ya katiba yenu yanawashinda.Itisheni kikao cha baraza kuu acheni porojo
Mkuu sio wote humu JF ni Chadema, sote tunajaribu kupanuana mawazo na kupata elimu katika mambo yenye mashaka mashaka. Hivyo mwana JF anapotoa mawazo yake against yako usimchukulie ni wa Chama fulani, haipendezi.
 
Bunge Ni mhimili unaojitegemea,na spika huchaguliwa na wabunge miongoni mwao na si rahisi kutumbuliwa na rais.kitu ambacho kinaweza kumtoa Ni wabunge wenyew wakubaliane kuwa jamaaa kashindwa kuwaongoza .Sasa kijani ilivyotamalaki in power of mwendazake I don't think so
 
Ndugai ni kiongozi wa mhimili wa nchi. Kumtoa sio kazi ndogo. Ni cheo kikubwa sana ndio maana kwenye shughuli za kiserikali anakaa kule mbele pembeni ya katibu mkuu kiongozi, waziri mkuu na jaji mkuu.

Sabaya ni mtu mdogo sana kimamlaka, ni kwa bahati mbaya alilelewa vibaya na awamu ya tano.
 
Kama unategemea sasha amfute kazi ndugai basi unaweza amini kila uongo dhidi ya sabaya. Kwa kukuelimisha spika wa bunge hawezi kufutwa kazi na rais.
 
Mungu atatujibia tu na kwake soon. Sisi ni kuzidisha dua tu [emoji120].
 
Ujeuri na kiburi chake, sisi tunamwachia Mungu amtwae mapema ....
 
Kama kweli wanaomba msaada kwa Ndugai na Samia kama wanaCCM na sio spika na rais basi watakuwa wamechanganyikiwa sana,kinyume chake utakuwa umechanganyikiwa wewe pamoja na wafuasi wa marehemu
 
Kigai gai yupo wapi??? Big up mzee jeneral ulimwengu
 
Kwanza kawekewa katibu mpya,maandishi yapo ukutani
 
Tuna spika wa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…