Kilio dhidi ya Spika Ndugai ni kikubwa kuliko kwa DC Sabaya. Je, siku za Ndugai nazo zinahesabika?

Basi ukiwa kiazi kaa kwa kutulia.

Bunge ni mhimili. Spika hateuliwi na Rais.
Ila Raisi ni mwenyekiti wa chama, akiamua kuanzia huko chamani basi spika hatoboi...anamfuta uanachama, hapo hapo anakosa sifa ya kuwa mbunge na hawezi kuwa spika tena
 
Tumesha sahau kuhusu maendeleo na kutatua kero za wananchi..............................wacha tuendelee kwanza kuchonga na kutengeneza majungu na fitina....
bandika....... bandua....... ...............tukija kushituka 2025 hiii hapa!!!

sisi wananchi hatutokuwa na msamaha kwa yeyote yule aliye chezea na kupoteza muda wa maendeleo ya wanchi.
 
CCM imejaa wapumbavu km akina Sabaya na Ndungai.
 
Wasipokosa Imani anafutwa uanachama.

Mkiti ccm na Rais nimamlaka kubwa sana.Hutaki kamuulkze JK kuwa Mkiti ccm ana nguvu.Hugo ndugai anabweka tu humor bungeni bila adabu,aliyeomba kura nchi nzima ni Rais.
Ana uwezo kuagiza kamati za wilaya ziwaite wabunge wrote wakapewa maelekezo na akina Mgaya ninichakufanya kwa Ndugai.

Pia usidhani kila mtu anapenda ujinga huku CCM kupitia Hugo anayekanyaga katiba.
Huyo alisema taasisi zikajifunze kwa Bashiru yeye kawa mwenezi.

Kama ana nguvu mbona hamwambi Rais akajifunze kwa nchi zingine kumuondoa Bashiru.
Fomu yakugombea alichukua kwa CCM hivyo nimkataba huo na chama na hana uwezokuyumbisha CCM kwa kauli zake tata.
Katibu wa bunge ndiye mtendaji mkuu wa bunge,hata vipeperushi sio kazi ya Spika kuongelea mbele ya camera.Aibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…